Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nchi hii wajinga ni wengi uchawa haujawi mwacha mtu salama, turekebishe kwanza vifungu vya mkataba, labda kama dp naye kakabidhiwa TRAIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Hata Sasa hakuna mtanzania anaendesha gari mpya ukiondoa wawili watatu tuKodi ya magari ni TRA sio Port. TRA Wakishusha bei itapendeza sana. Tanzania watu wanaendesha machuma chuma ya ajabu sana sababu ya gharama za magari.
Unakutana na Rav 4 ya 1994 huko imeshatumika hapa enzi na enzi vyuma vimesuguana mpaka kutu imesusa kushika, inauzwa M7.5 na dalali anataka laki mbili na bado mtu anainunua anapandisha mke na watoto humo kwenye hilo sufuria sababu hana mbadala.
Ushuru ukiwa chini mikokoteni ya zamani itauzwa bei che sana. Vyuma chakavu ndo watainunua kwa wingi.
Aibu sana. Lakini viongozi ni V8 0 km. Unaweza dhani wananchi wapo kwa ajili ya viongozi na si viongozi kwa ajili ya wananchi.Hata Sasa hakuna mtanzania anaendesha gari mpya ukiondoa wawili watatu tu
Wengine wote tunasubiri gari zichokwe Ulaya kiisha ziende nchi za ulimwengu wa pili halafu ndipo zikusanywe na kuletwa Afrika.
Gari Ina km laki moja lkn mtanzania akinunua anafanya sherehe
Acheni uhuni, ili jambo lichukulien poa tutakuja kusema tuliwambia mkasema hamuendeshi nchi kwa kwa kelele za watu , mda ni mwalim mzuri sanaIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Shame on you, Mwarabu ndiyo anapanga ushuru wa bandari?Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
TrueKodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka
Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari
Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
Hukute huyu kaandika huku ana masters lakini hajui hata kodi nani anapangaKwamba yeye ndio kapewa kuendesha TRA? Kweli hii nchi imejaa wendawazimu. Na yakishuka hivyo hizo barabara zipo wapi?
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Watu kama nyie transgender huwa na matatizo ya afya ya akiliIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Hii ni ndama haina akili kichwani muo nee huruma tu.Shame on you, Mwarabu ndiyo anapanga ushuru wa bandari?
Ni kweli uncle Kodi ya bandari sio rafiki HAta kidogo, na Ndio maana wafanyabiashara wanakwepa Kodi, Ili kupata faidaKodi komozi ya magari ni matokeo ya sera za kishetani za ujamaa lengo likiwa wengi wawe masikini ili watawaliwe
6M uje ulitoe kwa 20M? We jamaa ni muongo kupindukia.Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Kodi kubwa ni biashara wameweka makusudi ili wajanja wabargain watie mfukoniNi kweli uncle Kodi ya bandari sio rafiki HAta kidogo, na Ndio maana wafanyabiashara wanakwepa Kodi, Ili kupata faida
We jamaa, hivi umewahi agiza gari toka nje ya Tanzania na likapitia hapo bandarini Dar?Kati ya akina Kitenge na wewe wa mjini (mjini yenyewe ya Kwa Mtogole) unadhani nitamsikiliza nani?