WAJINGA MNADANGANYIKAIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World
Kwamba yeye ndio kapewa kuendesha TRA? Kweli hii nchi imejaa wendawazimu. Na yakishuka hivyo hizo barabara zipo wapi?Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World
hili ndio popote naona limetoka porini leo.Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World
Unaweza kumuheshimu kumbe kichwani ni bure. Bila shaka umewasikiliza kina Kitenge, wale washakula chaoIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World
Ndiyo maana wanasema ccm kuna wàjinga, Sasa bandari ndo wanatoza ushuru ambao unatozwa na tra?Kodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka
Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari
Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
Nimemshangaa huyu aliyepost hili. Leo kwenye bajeti mpya Kodi ya magari imeongezwa tenaNdiyo maana wanasema ccm kuna wàjinga, Sasa bandari ndo wanatoza ushuru ambao unatozwa na tra?
Kwani hiyo calculator ya TRA ni msahafu? Itabadilishwa maokoto ya waarabu yakiwa mengi Kodi kubwa itapunguzwa ili watanzania waonje pepo. Huo ndiyo msingi wa hojaKodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka
Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari
Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
Haya ni mapungufu yanayorekebishika, acha mwarabu apewe bandariKwamba yeye ndio kapewa kuendesha TRA? Kweli hii nchi imejaa wendawazimu. Na yakishuka hivyo hizo barabara zipo wapi?
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Siongei na wezi wa bandarini mm. Huwa hawawezi kujenga hoja, wamejaa makasiriko tu.hili ndio popote naona limetoka porini leo.
Wakabithi bandari yao. Hakuna ulaghai utakalainisha nyoyo zetu. Tuachieni bandari zetuIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Kati ya akina Kitenge na wewe wa mjini (mjini yenyewe ya Kwa Mtogole) unadhani nitamsikiliza nani?Unaweza kumuheshimu kumbe kichwani ni bure. Bila shaka umewasikiliza kina Kitenge, wale washakula chao
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Shida sio kusikiliza, kusikiliza na kutambua ukweli wa kitu ulichosikia ni jambo lingine. Hivi kweli kama hujui kuwa bei inaathiriwa na kodi ya TRA na sio malipo au ucheleweshaji wa bandari tukuitaje kama sio empty vessel. Ndio maana nikasema unaweza kumuheshimu mtu mtandaoni kumbe ni hapaswi.Kati ya akina Kitenge na wewe wa mjini (mjini yenyewe ya Kwa Mtogole) unadhani nitamsikiliza nani?
Ndio maana nimeshangaa mtu mzima hajui hili kisa kawasikia kina Kitenge na propaganda zao kisa wamebeba posho zao.Mbona Port Charges na Ushuru wa gari ni vitu viwili tofauti, Labda kama huyo DP World mnamkabidhi na TRA.