konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
-
- #81
Binafsi mkasa wa Khumbu na huu wa Zola una msisimko unaofanana. Khumbu alikuwa na vionjo vyake na Zola alikuwa msisimko wake kwa hiyo usiconclude kwa kuwa umeisoma ya Khumbu basi ya Zola haina msisimko wowote. Anyway nimeshaachana na hii stori kwa hiyo usitoe povu sana mkuu.unaringa sana ww jamaa daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kuna mwamba anaitwa holy holm namkubali sana huyu mwana yy story yake haina mibembelezo mingi....anashusha tuu
sasa ww mpaka ushikwe shikwe watu walie ndio ulete.....
hii sio ya khumbu baba hii hubembelezwii
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
safi achana nayo....na ukigombea uraisi sikupi kuraBinafsi mkasa wa Khumbu na huu wa Zola una msisimko unaofanana. Khumbu alikuwa na vionjo vyake na Zola alikuwa msisimko wake kwa hiyo usiconclude kwa kuwa umeisoma ya Khumbu basi ya Zola haina msisimko wowote. Anyway nimeshaachana na hii stori kwa hiyo usitoe povu sana mkuu.
πππππππππsafi achana nayo....na ukigombea uraisi sikupi kura
una majivuno sana ww jamaa.....
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Aah! Mkuu usininyime kura yako bhana. Haya mastori yasikusababishe ukaikosa Tanzania ya asali na maziwa. Nina mipango kabambe ya kuipaisha hii nchi mkuu. Tayari nishaanza kufanya mawasiliano na wachumi wabobezi kutoka overseas ili wawe washauri wa sera za kiuchumi ili Tanzania iwe nchi ya upper middle economy ndani ya mhula wangu wa kwanza tu. Kampuni za magari nitazileta sifungue viwanda vya kutengeneza magari hapa hapa nchini. Maisha yatakuwa mtelezo balaa. Kwa hiyo hii stori isikufanye uninyime kura mzee.safi achana nayo....na ukigombea uraisi sikupi kura
una majivuno sana ww jamaa.....
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
kaka leta story jamani dah mupaka tulie jamani kaka weka story kaka anguAah! Mkuu usininyime kura yako bhana. Haya mastori yasikusababishe ukaikosa Tanzania ya asali na maziwa. Nina mipango kabambe ya kuipaisha hii nchi mkuu. Tayari nishaanza kufanya mawasiliano na wachumi wabobezi kutoka overseas ili wawe washauri wa sera za kiuchumi ili Tanzania iwe nchi ya upper middle economy ndani ya mhula wangu wa kwanza tu. Kampuni za magari nitazileta sifungue viwanda vya kutengeneza magari hapa hapa nchini. Maisha yatakuwa mtelezo balaa. Kwa hiyo hii stori isikufanye uninyime kura mzee.
bwege huyokonda msafi we jamaa unatabia ya kususasusa .
Sijui unajisikiagaje![emoji848]
Sasa kwanini mastory yako usiwe unakaa nayo mwenyewe kuliko kuanzisha na ukaishia katikati???
Wana hawatakiwi kukubembeleza .
Hii tabia yako ya kususa namuonea sana huruma mkeo/demu wako, !!
Unapenda sana kubembelezwa kama mtoto wa kike[emoji28]
Anazingua!
π π π π π π π πJamaa linapenda sana kubembelezwa,,,,,hakuna aliyekutuma kuanzisha huo Uzi. Acha udada Mkuu!!!
Tabia za umama hizo kupenda kubembelezwa yaani sijui anajikuta yeye nani.Jamaa linapenda sana kubembelezwa,,,,,hakuna aliyekutuma kuanzisha huo Uzi. Acha udada Mkuu!!!
Unambembeleza nini bhana[emoji51][emoji51] hachana naeKonda msafi njoo umalizie mastory matamu ya south africa huko kaka unajua sana sema nn amilizia story kiloho safi wananchi watakulahani bro njoo umalizie kaka ww ni genius wa mastory matamu