konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
- #81
Binafsi mkasa wa Khumbu na huu wa Zola una msisimko unaofanana. Khumbu alikuwa na vionjo vyake na Zola alikuwa msisimko wake kwa hiyo usiconclude kwa kuwa umeisoma ya Khumbu basi ya Zola haina msisimko wowote. Anyway nimeshaachana na hii stori kwa hiyo usitoe povu sana mkuu.unaringa sana ww jamaa daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kuna mwamba anaitwa holy holm namkubali sana huyu mwana yy story yake haina mibembelezo mingi....anashusha tuu
sasa ww mpaka ushikwe shikwe watu walie ndio ulete.....
hii sio ya khumbu baba hii hubembelezwii
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app