konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Mnamkumbuka kwenye stori ya Khumbu niliwaambia nikiwa Durban kuna wasichana takribani 5 nilijihusisha nao ukiachilia Khumbu?
Sasa kulikuwa na kasichana kamoja english figure, kilikuwa na ngozi nzuri balaa. Ukikavua nguo huchoki kukaangalia. Kalikuwa na mvuto wa ajabu. Kalikuwa na ngozi kama rangi ya kahawa, ile kahawa rangi ya kahawia, yaani ngozi ilikuwa inavutia mbaya, laini kama imemwagiwa asali. Kakilala kifudifudi unaviona vinyweleo vimeota kwa mbali kama mtu anayehisi baridi. Halafu kalikuwa na sauti nzuri kama ya Wema Sepetu. Kalikuwa kapole kadada ka watu, hakakuwa na makuu kabisa.
Halafu kalikuwa na Elimu tofauti na Khumbu. Kilikuwa chuo mwaka wa kwanza UNISA. Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na haka katoto. Jina lake kalikuwa kanaitwa Zola. Nilikuwa nakatania kwa kukaita Zola Seven (Zola 7).
Kesho nitaleta stori ya haka katoto.
Updates: Kufuatia maombolezo ya msiba, hii stori nimeipostponed.