Ujio wa kocha mpya Simba SC hauna tofauti na kupika mchele wenye chuya

Ujio wa kocha mpya Simba SC hauna tofauti na kupika mchele wenye chuya

Upo sahihi mkuu lakini team nzima wamezeeka gafla? Maana hakuna mchezaji anayecheza vizuri hata mmoja zaidi ya kibu d, sasa ndo kusema huu uzee wameupata miezi hii m3?

Hapo simba ipo shida kubwa zaidi y hii ya wachezaji na kwasababu hawataki kusema siku moja viongozi watasema...... ila siamini hawa wachezaji wameshindwa kucheza vizuri”

Kwani dirisha dogo si linafunguliwa tarehe 1? Ngoja tuone watamsajili nani
NGOJA TUONE USAJILI WAO.
 
Angekuwa hanufaiki angeshaserereka,,, GSM na MO wanachonufaika na hizi timu zetu ni kuzigeuza kuwa MABANGO ya BIASHARA zao...
Kama wewe ulikuwa huelewi kuwa football ni biashara kubwa duniani na wenzako wameweza kuitumia fursa uliyoshindwa wewe kwa ujinga wako.

Unalalamika nini?
 
UONGOZI wa Simba unachapia nyufa badala ya KUJENGA ukuta, na hakika safari hii NYUMBA yenyewe imegoma na mafuriko ni mazito kiasi kwamba wakiendelea kukaza SHINGO basi tujiandae na mfuatano wa majanga...

Kufanikiwa kunahitaji kijikana kwakweli, hili linalotokea leo lilikuwa lazima lifike kwasababu klabu zetu zipo kwa ajili ya leo... Simba iko na uwanja Bunju miaka 10 inaenda lakini mpaka muda hakuna hata mtoto mmoja anayetokea pembeni ya uwanja hata wa kujua kudaka na tunaoyeshana Ndoto za mafanikio Afrika...

Haya kutengeneza cha kwetu tumeshindwa, sasa huko kununua nako tunabebana na sagula sagula za mwisho maana hata mtumba nao una grade zake, halafu tukishakusanyana na hayo magalasa tunayapamba kwenye magazeti ili kuhalalisha udhalimu wetu, halafu bila aibu TAJIRI tunamdanganya kuwa tumetumia Bilioni 3 kusajili [emoji1787][emoji1787][emoji1787], lakini ukichukua kalkuleta na peni Kila ukipiga hesabu huziona hizo Bil 3 zimeishia kwa nani?? [emoji23][emoji23][emoji23] Hapo MHINDI tushampiga kwa kumuuzia JUMBA LA UDONGO LILOCHAPWA PLASTA ambalo soon litavimba tu...

Na Sasa ndo limeanza kuvimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana wakati tunamwongezea MHINDI sifuri kwenye hesabu tunasahau kuwa mwisho wa siku yooote yanaishia uwanjani,,,, hapo ndo tunabaki na mazoea kuwa kwa "MKAPA HATOKI MTU" [emoji23][emoji23][emoji23].... huku chini ya VITI tunacheka tu [emoji23][emoji23][emoji23] tunasubiria dirisha dogo....
KWELI MKUU ULIONGEA SAHIHI SAIVI TUNAYAONA
 
Kiungwana kabisaa na kimichezo kuna Viongozi(wale walio mleta Manzoki wakati wa uchaguzi) wangetakiwa hadi muda huu wawe wamekabidhi ofisi kwa faida ya Simba.
Lakini ajabu bado wanashupaza shingo.
Kwanini nasema viongozi kwasababu ndiyo wahusika katika usajili kwa wachezaji na makocha
KWELI MKUU
 
Daima asokupenda hukatisha tamaa ili uanguke, twaja nguvu mpya twaengua watu kileleni na maisha yaendelee mtikisiko huu wana yanga mmeupitia miaka minne ila miaka miwili mshavimba mpaka putulu latanuka[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] niko na sindano nawaza toboa[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji3578]
NGUVU MPYA IPO WAPI
 
Back
Top Bottom