Ujio wa Lissu usiingiliwe, vinginevyo unaweza sababisha kutokea kwa stampede

Mkuu akija hayo yote yatafahamika,usiwe na wasiwasi atawekwa kwenye selo nzuri tu na atahudumiwa vizuuri ili atoe ushirikiano wa kutosha kwa jeshi la Polisi.
Ni kosa kubwa Sana kumpa mjinga nguvu na mamlaka atawatesa wasio na hatia na kuipindisha sheria.
 
Mkuu akija hayo yote yatafahamika,usiwe na wasiwasi atawekwa kwenye selo nzuri tu na atahudumiwa vizuuri ili atoe ushirikiano wa kutosha kwa jeshi la Polisi.
Yani wewe Leo upigwe risasi 16 tuache kuwatafuta waliokupiga tukukamate wewe halafu mnataka watu wawe wazalendo.
 
Ni kosa kubwa Sana kumpa mjinga nguvu na mamlaka atawatesa wasio na hatia na kuipindisha sheria.
ni kawaida kwa vibaraka wa mabepari kulalama pale tu sheria inapochukua mkondo wake.
 
Yani wewe Leo upigwe risasi 16 tuache kuwatafuta waliokupiga tukukamate wewe halafu mnataka watu wawe wazalendo.
Unaweza pigwa risasi na watu unaowafahamu ama kuwahisi.uwenda ni mahasimu wake wa kisiasa ndani ya chama chake au vinginevyo.
sasa jeshi likikuweka mahala kwa usalama wako ili uwatajie waliokudhuru washughulikiwe na hilo nalo litaleta zengwe?
 
Kukamata

Stempede

Uchochezi

Urais

Kupigwa risasi

Mikutano ya chama

Uwanja upi wa ndege

Mpaka upi kutoka jirani
 
Unaweza pigwa risasi na watu unaowafahamu ama kuwahisi.uwenda ni mahasimu wake wa kisiasa ndani ya chama chake au vinginevyo.
sasa jeshi likikuweka mahala kwa usalama wako ili uwatajie waliokudhuru washughulikiwe na hilo nalo litaleta zengwe?
Wiki moja kabla hajashambuliwa alilitaja gari kwa namba lililokuwa linamfuata toka dar to Dom pia alitoa taarifa kwa kipilimba na siro Kama haitoshi labda nikuulize NAWATAFUNA Nani anaehusika kupanga zamu za walinzi kwenye makazi ya viongozi wa serikali?
 
Mtu asiende kutafuta fedha aende kumpokea Tundu Lissu???😂😂😂😂😂
 
Jeshi la polisi linahusika na kupanga zamu.lakini nikwambie kitu badala ya Lissu na nyinyi kulitupia lawama jeshi la polisi ni bora kulipa ushirikiano wa karibu ili ibainike ni akina nani walihusika.
Lissu hata ajawai kuhojiwa,analalama tu kwa media.jeshi alifanyi kazi kwa mihemko ya kwenye mitandao.
 
Umejibu vizuri vipi kuhusu kutolewa kamera za CCTV unasemaje ? Nani mwenye mamlaka ya kutoa kamera za ulinzi kwenye makazi ya naibu spika na kub?
 
Ushauri
 
We jamaa una kipaji cha ujinga.
 
Umejibu vizuri vipi kuhusu kutolewa kamera za CCTV unasemaje ? Nani mwenye mamlaka ya kutoa kamera za ulinzi kwenye makazi ya naibu spika na kub?
Wewe unaniuliza maswali ambayo hayana mashiko.kuhusu camera ni uzushi usio na afya kwenye jambo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…