Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashekhe wameshaandamana kuufukuza ushoga nchini.
 
Hilo halipo ulinzi sitting President USA ni jambo gumu sana kuelewa sio nchi masikini hata ulaya popote alipo ulinzi ni wao ....pekee ....hata Israel wana obey..
story za kwenye kahawa hizo.
 
hiyo ni given kama pie...hoja yangu ni sisi kujiondoa katika hilo janga...kijana simama imara na simama kama mzalendo.
 
Hamna mtu ana muda wa kuweka ikulu yenu chini ya ulinzi, bali wao watakuwa wanamlinda kiongozi wao. Kama hawaamini ulinzi wenu ni lazima wamlinde kiongozi wao, hata kama ikulu yenu itakuwa chini ya usimamizi wao kwa muda. Uzuri ni kwamba watakapoweka ikulu yenu chini ya ulinzi, automatically na ikulu yenu inakuwa kwenye usalama zaidi kwa muda huo.
 
maswala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.

31 August 2022
Dodoma, Tanzania

Dege kubwa la kijeshi la mizigo na askari likiondoka uwanja wa ndege wa Dodoma na kutimua vumbi jingi

C17 military transport plane: McDonnell Douglas / Boeing C-17 Globemaster III is a large military transport aircraft that was developed for the United States Air Force from the 1980s to the early 1990s by McDonnell Douglas
 
Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.
Ukiachana na hizi siasa uchwara za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Wale jamaa wanaamini bara la Afrika kusini mwa jangwa wanaishi wanyama pori...itakuwa ni maajabu kwenda porini bila silaha na ulinzi wa kutosha.
 
Ukiachana na hizi siasa uchwara za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Wale jamaa wanaamini bara la Afrika kusini mwa jangwa wanaishi wanyama pori...itakuwa ni maajabu kwenda porini bila silaha na ulinzi wa kutosha.
Simple...waambiwe tu ...plain and clear kwamba TZ ni nchi na ina mfumo wake makini.
 
Y
Hapo ramani yote ya jengo wataondoka nayo kisirisiri au kwa uwaziuwazi huku makirikiri wasijue cha kufanya au wajue cha kufanya na wasikifanye
Kwa akili yako unahisi hawaijui? 🤣 🤣 Kazi mnayo.
 
Ondoka huko ...umbea wenu wa kuchafua majina ya legends hauwezi kufanikiwa.rudi kwenye mada za msingi
Subiri uone ulinzi siku hiyo utakuwa chini ya kina nani? Yaani IGP wetu atapangwa kulinda magari nje ya uzio wa ikulu. Na nina washauri wamerekani wasithubutu kukubali kulindwa na majizi ya kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…