Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

Si bora waingilie hiyo mifumo kuliko huyo mama kuja na sera za upinde wa mvua mana nao Lemma anaongea kwa kujiamini sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo anakuja kuwaambia waweke legal [emoji304][emoji304][emoji304].
 
Mwambie ukweli huyu pimbi! Haelewi chochote! Unampangia unaempelekea bakuli la mkopo?
 
Mifumo itaingiliwa bila kizuizi chochote na watapanda juu ya paa la ikulu na magorofa yote yanayozunguka ikulu wakiwa na mitutu. Rais atafanya kazi kama mateka ndani ya ikulu ya nchi mwenyeji. Awamu ya urais wa sasa ni sawa na awamu ya nne ambapo Bush na Obama kuanzia hoteli ya Serena hadi Ikulu ya Tanzania mashushushu wa Marekani ndio waliongoza usalama wa kila kitu.

Marekani ni dola la kuteka akili za watu wenye hofu ya kutengwa kimataifa.
 
Suala la ulinzi na usalama wa nchi yetu ni jukumu letu lakini pia kama nchi sisi siyo kisiwa tunao washirika wetu tunaosaidiana katika hilo.

Ujio wa Makamo wa Rais wa Marekani suala la ulinzi na usalama wake lipo mikononi mwa Serikali ya Tanzania lakini pia wakishirikiana na nchi mgeni siku hiyo,kila mahali patapohitajika ulinzi kwa ajili ya ugeni huo basi naamini Askari wetu shupavu kwa kushirikiana na wa Marekani watafanyakazi bega kwa bega na hii ni kama ilivyokuwa hata alipokuja Obama na Bush.

Haipo nchi yoyote ile Duniani itaacha Kiongozi wake anapokuwa ziarani nje ya nchi kumlinda,hata aje Rais wa Somalia hapa bado walinzi wake watamlinda kwa kuwa itifaki inaruhusu hilo pia.
 
Na Airport pale akapokelewe na Makamu wa Rais au mkuu wa mkoa. Rais akienda kumpokea Makamu wa Rais itakuwa fedheha sana kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya uchumi wa kati.
Huu ni Uchochezi.
By the way Wazungu haya mambo yakupokelewa with high profile sio ishu kwao.

Japo Hawezi kuacha kwenda kumpokea.

Hadi Sasa Hotel kubwa kubwa hapa Dar zimejaa wanajeshi wa kimarekani.
 
Huu ni Uchochezi.
By the way Wazungu haya mambo yakupokelewa with high profile sio ishu kwao.

Japo Hawezi kuacha kwenda kumpokea.

Hadi Sasa Hotel kubwa kubwa hapa Dar zimejaa wanajeshi wa kimarekani.
Kwenye maziko ya Malkia Elizabeth Marais wetu walipakiwa kwenye coaster....
 
hiyo ni given kama pie...hoja yangu ni sisi kujiondoa katika hilo janga...kijana simama imara na simama kama mzalendo.
Uzalendo upi wakati bado tupo duni technological wise, kujiita mzalendo kwenye hakuna sio sawa.

Wamarekani wameahidi Mmarekani atalindwa sehemu yoyote ile atakapo kuwa sasa ndo iwe kwa numbe 2 wa Taifa lao?!
 
Kwenye maziko ya Malkia Elizabeth Marais wetu walipakiwa kwenye coaster....
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] samia akawa anachungulia dirishanii kama yatima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haipo nchi yoyote ile Duniani itaacha Kiongozi wake anapokuwa ziarani nje ya nchi kumlinda,hata aje Rais wa Somalia hapa bado walinzi wake watamlinda kwa kuwa itifaki inaruhusu hilo pia.

Kumbuka samia alivyoenda kwenye mazishi ya ELIZABETH aliwekwa kwenye COSTA.
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kumbuka samia alivyoenda kwenye mazishi ya ELIZABETH aliwekwa kwenye COSTA.
Wala halikuwa tishio,tukio kubwa kama lile na karibu Viongozi wote wakubwa walihudhuria ulitaka kila mmoja awe na msafara wake? Isingewezekana ndiyo maana wakatumia basi lenye hadhi ya kumbeba Kiongozi mwenye hadhi ya Rais.
 
Sawa, lakini samia aliwekwa kwenye COSTA.
 
Rais wenu anapokwenda nje ya nchi walinzi wa kwenu wanauwezo wa kuwaondoa walinzi wa Kimarekani kwenye ikulu yao kama inavyofanyika hapo Tanzania?

Juzi tu hapo ikulu ya magogoni walinzi wa Marekani walitawala kujipenyeza kila uchochoro wa ikulu yenu hapo ni nani alikuwa mlinzi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…