Mimi nachokiona watanzania tutanufaika zaidi na ziara hii maana lazima Marekani aongeze uwekezaji Tanzania na hii itasaidia kutuinua kiuchumi na kuzalisha ajira nyingi zaidi maanaMarekani sio taifa la kuamini,wapo kimasilahi zaidi,kuja Kwa Kamala ni vizuri Kwa taifa ila tutegemee kuendelea kunyonywa mahala fulani
Hiyo inaweza kuwa sababu lakini sababu kubwa ni Rais Samia Suluhu ameboresha sera ya uwekezaji na kwakua Marekani ni muwekezaji mkubwa katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania lazima atembelee Tanzania nchi inayovutia zaidi kwa uwekezaji ukilinganisha na nchi nyingine Afrika..kwasababu Tz inaongozwa na mwanamke.
..Kamala Harris naye ni mwanamke.
..ndio maana ktk ziara yake lazima atembelee nchi ya Afrika inayoongozwa na mwanamke ili kunogesha na kuhalalisha ziara hiyo kwa vyombo vya habari vya Marekani.
Hawashindwi kutunyonya hata wasipokujaMarekani sio taifa la kuamini,wapo kimasilahi zaidi,kuja Kwa Kamala ni vizuri Kwa taifa ila tutegemee kuendelea kunyonywa mahala fulani
Hta kama wanapromote ni huko kwao lakini huku kwetu hayo mambo hatuna na Rais wetu hawezi kuruhusu huo upuuzi sisi tunachoangalia ni jinsi Tanzania itakavyonufaika na kibiashara na uwekezaji baada ya ziara hiiMakamu wa Rais wa nchi mnayodai ina-promote uchafu anakaribishwaje nchini? Au amekuja kinguvu?
Ajenda ni kuimarisha uhusiana wa kibiashara na uwekezaji (Diplomasia ya uchumi) kwaiyo tujiandae kunufaika na ajira za kutoshaKama agenda ni haki za binadamu mjue mnaenda kusainishwa mikataba ya masharti ya upinde tu
... kwa maana hiyo wanaosema serikali hachukui hatua thabiti na za wazi kuonesha clearly kwa vitendo kwamba inapinga hayo mambo wanakosea? Kinyume chake ni as if serikali ina-support!Hta kama wanapromote ni huko kwao lakini huku kwetu hayo mambo hatuna na Rais wetu hawezi kuruhusu huo upuuzi sisi tunachoangalia ni jinsi Tanzania itakavyonufaika na kibiashara na uwekezaji baada ya ziara hii
Rais Samia Suluhu ni akili kubwa
Kinachotakiwa hapa ni kuingia barabarani na mabango ya NO NO LGBTQ ili ayaone Kwa amani na utulivy tu kwani uko shida gani.... kwa maana hiyo wanaosema serikali hachukui hatua thabiti na za wazi kuonesha clearly kwa vitendo kwamba inapinga hayo mambo wanakosea? Kinyume chake ni as if serikali ina-support!
... mtapigwa tear gas mpaka mchakae na jela mtaenda. Jaribu uone.Kinachotakiwa hapa ni kuingia barabarani na mabango ya NO NO LGBTQ ili ayaone Kwa amani na utulivy tu kwani uko shida gani.
Nani kakuambia uko kwingine hawaendi,si kapita ata Ghana uyuWamerakani wana Agenda yao ya siri hapa nchini.
Alianza Bill Clinton, George Bush, Barack Obama na sasa ni Kamala Harris.
✍️Kwa nini kila siku Tanzania?🤔
✍️What so special about Tanzania?
Why Ghana?Nani kakuambia uko kwingine hawaendi,si kapita ata Ghana uyu
Kuna jamaa Jana alielezea kwamba alikua anafanya kazi kwenye taasisi fulani au tuiite taasisi B na kwenye hio taasisi B akakutana na hao jamaa (mashoga) wakiwa wamewekewa utaratibu wao maalum kwamba kila mwisho wa mwezi apart from salary payment kuna pesa walikua wanapewa pamoja na zawadi pia kutoka watu wa Marekani na wanaambiwa km kuna wenzao (mashoga) pia wawaambie wajiunge nao wapatiwe pesa na zawadi, akasema alipohoji kwanini wanafanya hivyo alipewa barua 2 moja ni ya hao wafadhiri na ya pili ni ya Wizara ya Afya ikitoa kibari kwamba hao watu wapatiwe hizo huduma km ilivyoelekezwa, kwa hio usiseme Serikali haijui au Serikali hai-supportas if serikali ina-support!