stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Agenda ni haki za binadamu maana ukanda huu wamekua wakipitia changamoto ya kupigwa Vita agenda yao ya upinde, kwa hio lazima waje kuweka mambo sawa, Ila maisha haya yaan kuna jamaa alikua shoga akapata Bwana wa Kiarabu akakaa nae km mke na mume baadae wakaachana akapata bwana mwingine, waislamu wakamdaka wakamwambia adhabu ya ushoga ni kifo kwa hio amua moja upo tayari kufa au tukusilimishe na uahidi kua hutorudia tena huu ufirauni, jamaa akawaza akasema haina shida nisilimisheni kuanzia leo mimi sifanyi tena huu mchezo mchafu, jamaa kasirimu sasa hivi kawa ostadhi mda wote na kanzu na baragashia huku anasoma TasbiiKama agenda ni haki za binadamu mjue mnaenda kusainishwa mikataba ya masharti ya upinde tu
Takbiir