Ujio wa Makamu wa Rais wa Warekani sio bahati mbaya

Ujio wa Makamu wa Rais wa Warekani sio bahati mbaya

Marekani sio taifa la kuamini,wapo kimasilahi zaidi,kuja Kwa Kamala ni vizuri Kwa taifa ila tutegemee kuendelea kunyonywa mahala fulani
Umesema ukweli kabisa kwa sababu kuja kwa Bush na ziara za Clinton mfululizo zilikuwa zinafuata Uranium yetu walikuwa wanahofu ya kuwauzia Korea ya kiduku Clinton pia alikuwa anafuatilia Kigamboni sijui ilikuwaje meza ikapinduliwa
 
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha diplomasia iliyoanzishwa na watangulizi wake na sasa Tanzania tunaendelea kunufaika kupitia uhusiano huu.

Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris nchini itaimarisha na kufungua zaidi fursa za biashara na uwekezaji.

FsPCPmVWcAMtPUk
Alipokuja Oboma wakati wa Kikwete 2013 tulipata nn said ya Obama kutuambia tu tukubali mapenz ya jinsia moja.Alipokuja Bush tulipata nn? Anakuja Kamala kusisitiza ushoga ndio maana mama hataki kupinga.Tafakali ndugu yangu .Acha kuandika vitu visivyo na maana.
 
Kwamba Ujio wake umetokana na SSH kufungua nchi ni upotoshaji. Kwamba ni kwa sababu Hayati Raisi hakuwa akienda nchi za nje ni upotoshaji. Kwamba uhusiano wetu na Nchi za nje ulizorota ni upotoshaji.

Kiuhalisia, Kamala amekuja kufuatilia ahadi alyoitoa Raisi wa Marekani baada ya kukutana na Wakuu wa nchi za Kiafrika Marekani, kuwa sasa wako pamoja na Nchi za kiafrika katika maendeleo. Biashara na Uwekezaji.

Hata hivyo, vyombo vya habari vimeripoti kuwa atakazia katika masuala ya ubunifu wa vijana(ndio unaona listi ya miziki yake), biashara, na uwekezaji. Ni muendelezo tu.
Hakuna siasa hapo.
 
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha diplomasia iliyoanzishwa na watangulizi wake na sasa Tanzania tunaendelea kunufaika kupitia uhusiano huu.

Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris nchini itaimarisha na kufungua zaidi fursa za biashara na uwekezaji.

FsPCPmVWcAMtPUk
Mtaani mmepewa propaganda za ushoga na umri wa ndoa mnahangaika nazo...
hadi kwenye nyumba za ibada ili tuibiwe kirahisi!
Nyie watu... Mtalala hadi lini??
 
..Raisi wa Ethiopia sio Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu kama alivyo Ssh.
Naelewa vizuri. Hoja zangu zilikuwa zinajazia kupinga kwamba Kamala anakuja Tanzania kwa sababu tuna Mhe. Rais mwanamke. Narejea; tukubali tu nchi yetu inaheshima kubwa duniani msingi uliojengwa na Baba wa Taifa na Mhe. Rais Samia, anaindeleza vema na wala si kwa sababu tuna Rais mwanamke. Naamini watakuja wengi viongozi wanaume pia. 🙏🙏🙏
 
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha diplomasia iliyoanzishwa na watangulizi wake na sasa Tanzania tunaendelea kunufaika kupitia uhusiano huu.

Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris nchini itaimarisha na kufungua zaidi fursa za biashara na uwekezaji.

FsPCPmVWcAMtPUk
Inabidi ueleze umenufaika na Nini kwa ujio wa hao wamarekani na ulikosa nini kipindi hao wamarekani hawakuja sio story tu
 
Mimi nachokiona watanzania tutanufaika zaidi na ziara hii maana lazima Marekani aongeze uwekezaji Tanzania na hii itasaidia kutuinua kiuchumi na kuzalisha ajira nyingi zaidi maana

hadi sasa watanzania Zaidi ya 50,000 wamepata ajira za moja kwa moja kupitia uwekezaji wa TZS trilioni 10.97 uwekezaji huo uliofanywa na marekani
Marekani amewekeza maeneo gani labda napenda utufahamishe tena kwa takwimu na locations, naomba utupe miradi ya kimafanikio tokea wameanza kuja hapa Tanzania.
 
Hiyo inaweza kuwa sababu lakini sababu kubwa ni Rais Samia Suluhu ameboresha sera ya uwekezaji na kwakua Marekani ni muwekezaji mkubwa katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania lazima atembelee Tanzania nchi inayovutia zaidi kwa uwekezaji ukilinganisha na nchi nyingine Afrika
Uwekezaji gani hebu tupe elimu tusio na elimu ya uwekezaji wa marekani?
 
Hta kama wanapromote ni huko kwao lakini huku kwetu hayo mambo hatuna na Rais wetu hawezi kuruhusu huo upuuzi sisi tunachoangalia ni jinsi Tanzania itakavyonufaika na kibiashara na uwekezaji baada ya ziara hii

Rais Samia Suluhu ni akili kubwa
Wewe haujielewi wewe, sio bure. Umesema nini hakuna?
 
Yule jamaa yeye alikuwa anapenda marafiki zake wawe ni cuba,urusi,china na N.korea tu!!akiambiwa dunia ya sasa huwezi taka kuongoza watu kama miaka ile ya 1945,ana kuwa mkali!!ila MUMGU NI FUNDI
Unaonekana bado unaishi nyumbani kwenu au unaishi kwa dada yako bado haujaanza kujitegemea. Ila siku utakapoanza ndipo utaanza sasa kuelewa siasa za ulimwengu zinakwendaje.

Yaani hata mitandaoni hausomi, unajua kitu kinachoitwa BRICS?

Unajua kitu kinachoitwa trends za kifedha kwasasa zinakwendaje?!

Anyways nenda kwanza kasome mitandaoni halafu uje ndipo tuzungumze.
 
K
Hiyo inaweza kuwa sababu lakini sababu kubwa ni Rais Samia Suluhu ameboresha sera ya uwekezaji na kwakua Marekani ni muwekezaji mkubwa katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania lazima atembelee Tanzania nchi inayovutia zaidi kwa uwekezaji ukilinganisha na nchi nyingine Afrika
Kila siku sera zinaboreshwa ila ukienda kutaka kufungua kampuni na mtu wa nje vipengele ni elfu 10 kidogo
 
Kuna jamaa Jana alielezea kwamba alikua anafanya kazi kwenye taasisi fulani au tuiite taasisi B na kwenye hio taasisi B akakutana na hao jamaa (mashoga) wakiwa wamewekewa utaratibu wao maalum kwamba kila mwisho wa mwezi apart from salary payment kuna pesa walikua wanapewa pamoja na zawadi pia kutoka watu wa Marekani na wanaambiwa km kuna wenzao (mashoga) pia wawaambie wajiunge nao wapatiwe pesa na zawadi, akasema alipohoji kwanini wanafanya hivyo alipewa barua 2 moja ni ya hao wafadhiri na ya pili ni ya Wizara ya Afya ikitoa kibari kwamba hao watu wapatiwe hizo huduma km ilivyoelekezwa, kwa hio usiseme Serikali haijui au Serikali hai-support
Ndio maana ndugu zetu wameenda kujisajili ubeligiji kama machoko ili walambe asali.
 
Mtakuja kushangaa ule mpango wao wa kujenga kambi ya kijeshi Kigamboni unaendelezwa wana kigamboni jiandaeni kwa fidia maana wakisema wanaendeleza Plan mtafukuzwa anytime 🤣🤣🤣
Wamerakani wana Agenda yao ya siri hapa nchini.
Alianza Bill Clinton, George Bush, Barack Obama na sasa ni Kamala Harris.

✍️Kwa nini kila siku Tanzania?🤔
✍️What so special about Tanzania?
 
Mimi nachokiona watanzania tutanufaika zaidi na ziara hii maana lazima Marekani aongeze uwekezaji Tanzania na hii itasaidia kutuinua kiuchumi na kuzalisha ajira nyingi zaidi maana

hadi sasa watanzania Zaidi ya 50,000 wamepata ajira za moja kwa moja kupitia uwekezaji wa TZS trilioni 10.97 uwekezaji huo uliofanywa na marekani
Marekani ameshasaidia Taifa lipi la mfano likainuka? Waanze na Haiti! Taifa la kinafiki linaloangamiza dunia kwa sera mbovu zinazolazimishwa na ubabe wao.

Kama hata sisi binadamu tulivyo na maadui ili watutie adabu tumrudie Mungu, ndivyo Marekani nao lazima kuwe na akina Putin kuwapunguza upunguani wao.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mabeberu wajanja sana, wakishaona sehemu kuna kiongozi mbovu anayekubali kila wanalomwambia wanajipenyeza mpaka sebuleni
 
Unaonekana bado unaishi nyumbani kwenu au unaishi kwa dada yako bado haujaanza kujitegemea. Ila siku utakapoanza ndipo utaanza sasa kuelewa siasa za ulimwengu zinakwendaje.

Yaani hata mitandaoni hausomi, unajua kitu kinachoitwa BRICS?

Unajua kitu kinachoitwa trends za kifedha kwasasa zinakwendaje?!

Anyways nenda kwanza kasome mitandaoni halafu uje ndipo tuzungumze.
Huo umoja wao umesaidia nini kwa nchi za kiafrika tofauti na kusaidia kukuza udikteta tu!!?huko brazil na S.afrika tu ndio zenye demokrasia.Inshu sio trend za kifedha wamesaidia nini kwa nchi za kiafrika?ni mala ngapi huyo china unasikia ameingia kwenye mizozo na nchi anazozipata misaada yenye ujanja ujanja mwingi(ufisadi)haaa kwenye miradi anayoifadhiri,(SGR-KENYA,UGANDA,ZAMBIA,DRC)hapa ndio Jpm akashituka akaenda kwa waturuki!?wazungu hasa US wana mapungufu yao lakini wana msaada mkubwa sana kwa Afrika.
 
Marekani sio taifa la kuamini,wapo kimasilahi zaidi,kuja Kwa Kamala ni vizuri Kwa taifa ila tutegemee kuendelea kunyonywa mahala fulani
Namshangaa, sijui hasikii all those raised voices from almost all African leaders, wanavyoipiga madongo i na kuikataa marekani sasa hivi,
 
Back
Top Bottom