Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu Jamaa ananifuraishaga sana, wala hatumii nguvu ku trend, he is comedian naturally, Ana kipaji mno, Sijui kama kuna mtu anamchukia huyu jamaa.

Na kuhusu kupenda kum attack peter msechu Sijui kama wana bifu kweli au Ndo ubunifu tu ila namkubali sana , anafanya vizuri sana kwenye comedy.

 
Huyu jamaa angeamua kufanya ‘stendapu’ komedi kuna hela zake huko, yuko vizuri kuliko wengi wanaojaribu.

Kuhusu Peter Msechu ni utani wao tu, kama Idris kwa Billnas.

Ahahah , Ana kipaji sana halafu yuko so real , leo alinichekesha eti anaishi pazuri kwa kuwa ye maisha ni mteremko hanunui pombe wala chakula, akitaka kula anaenda kwa shishi, pombe akikutana na kina Diamond wanampa $100 maisha yanaenda so pesa yake anafanyia mambo ya msingi[emoji16]
 
Kuhusu kuchukiwa, jibu ni Ndio, Kuna mtu anamchukia, na mtu huyo anayemchukia ni Uchebe...

Ila hii kesi yake na uchebe is very sensitive, nasikia yeye ndo chanzo cha ugomvi na uchebe, nasikia jamaa anakaaga na shilole hadi saa nane usiku , halafu baba levo nae ni mume wa mtu , na juzi niliona kapost Sijui walikua kwenye gar na shilole mara ziwa la shilole likaruka likatoka kwenye sidiria, I think that was too much

Wanamdharau sana uchebe, hiko kipigo cha shilole sawa sawa
 
Kwa mujibu wa brother K husema kuwa yeye alikuwa anaimba na baba levo alikuwa comedian kipindi hio wanahaso na life ila mungu mkubwa yeye akatokea kwenye comedy na baba levo akajikuta ni musician so hata usishangae ukiona wimbo wa brother K au vituko na u komedi wa baba levo walikuwa ni majamaa ba tha way
 


Hapo uliposema wapo kwenye gari na ziwa la Shilole likatoka likaruka. Nilishtuka maana nilifikiri ziwa limeruka kutoka kwenye gari, dah!
 
Hata mimi namkubari na nyimbo zake zinanifuraisha hizi za siku hizi .Peter msechu mshikaji wake sana sana hata msechu akiulizwa chhochote kuhusu baba levo atamponda ila ni marafii sana sana
 
Baba level alifanyiwa interview na clouds plus dstv alisema hana mke
 
Haa haa haa aiseee
 
Miongoni mwa watu waliochangia ndoa ya bwana Uchebe kuyumba.
 
Hapo uliposema wapo kwenye gari na ziwa la Shilole likatoka likaruka. Nilishtuka maana nilifikiri ziwa limeruka kutoka kwenye gari, dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…