Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioAlikua dereva wa Linah
No sijauliza ni nimesema coz nimeona umesema alikua bodyguardNdio
Unawashwa?So what's your point?
Zote zoteNo sijauliza ni nimesema coz nimeona umesema alikua bodyguard
Laki sita
AnawashwaKuna mtu anamwelewa huyu Mama Debora anateseka kitu gani.?
Ni kweli sio pesa nyingiHaifiki, malipo kwa siku unakuta siku kibao hakuna kazi... lakini hata hiyo laki sita inawezekana tu.
Anawashwa
Achana naye , mpuuzi tu huyo.Kuna mtu anamwelewa huyu Mama Debora anateseka kitu gani.?
Hatutoi kiki.Mapunguani ngoja niachane nayo!!
The way mnavo discuss tu hizo laki sita nishapata picha ya haraka uwezo wenu kimaisha.
Itoshe kusema mapunguani
Mapunguani ngoja niachane nayo!!
The way mnavo discuss tu hizo laki sita nishapata picha ya haraka uwezo wenu kimaisha.
Itoshe kusema mapunguani
Hatutoi kiki.
Unahitaji msaada wa tiba ya akili, nakuhurumia... rudi kwa mumeo huenda ni laana hiyo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatutoi kiki.
Mashkaji yenye nywele makalioni na ndevu usoni usiku wa saa saba kudiscuss mapenzi ya watu wasiowahusu kabisa.
Haya tumeshakuona na wewe.Mashkaji yenye nywele makalioni na ndevu usoni usiku wa saa saba kudiscuss mapenzi ya watu wasiowahusu kabisa.
Kuna siku Uchebe katoa povu kuhusu baba Levo na Shishi kuwa karibu, na kuchimba mkwara mzito, Shishi na baba Levo waka reply kwa pamoja kwa kumcheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]