Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Hivi ni diwan wa wapi vile?Ahahah , Ana kipaji sana halafu yuko so real , leo alinichekesha eti anaishi pazuri kwa kuwa ye maisha ni mteremko hanunui pombe wala chakula, akitaka kula anaenda kwa shishi, pombe akikutana na kina Diamond wanampa $100 maisha yanaenda so pesa yake anafanyia mambo ya msingi[emoji16]