Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Nampenda baba levo kwakuwa anawachukia polisi pia yuko upinzani .
 
"Ninakula bure...ikija billi shilole analipa maana yeye ni tajiri kuliko mimi ,mimi labda naweza kupewa hela ndogondogo bila inaweza ikaja 150 au laki 2 na elfu 9 shilole akalipa laki mbili akanambia baba levo kama una elfu ongezea na naweza nikakaza vile vile nikasema sina hahaha"
 
"anasema walipata meneja yeye na msechu,,,kesho yake msechu na mkewe wakaenda kwa meneja kuomba unga,sukari,mafuta na mchele na wakaangua maembe kwa meneja, meneja akaona eeh yaan tumesaini jana tu leo wananililia njaa akavunja mkataba"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna video amesema Msechu anatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ila hata hivyo hazimsaidii
 
Huyu Jamaa ananifuraishaga sana, wala hatumii nguvu ku trend, he is comedian naturally, Ana kipaji mno, Sijui kama kuna mtu anamchukia huyu jamaa.

Na kuhusu kupenda kum attack peter msechu Sijui kama wana bifu kweli au Ndo ubunifu tu ila namkubali sana , anafanya vizuri sana kwenye comedy.
Ila anasema yeye sio commedian.
Jamaa mmoja simple sana!
 
"anasema walipata meneja yeye na msechu,,,kesho yake msechu na mkewe wakaenda kwa meneja kuomba unga,sukari,mafuta na mchele na wakaangua maembe kwa meneja, meneja akaona eeh yaan tumesaini jana tu leo wananililia njaa akavunja mkataba"
Anasema Msechu alifanyiwa kitu mbaya na mzee mmoja wa kigoma, msechu alimpa mimba binti wa huyo mzee na mzee alichofanya ni kuitoa mimba kwa binti yake na kuiweka kwa msechu...mpaka leo mimba imegima kutoka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Halafu nimekumbuka, kuna ubuyu kautoa Aristotle ,kumbe bwana Uchebe alikuwa bodyguard wa Linah na alikuwa akilipwa elfu 20 kwa siku, Shishi akavutiwa naye akaamua kumchukua mazima.
Hakuwa bordguard alikuwa dereva wake,yule mwanaume aliyezaa na Lina huwa anamtumia uchebe kuwafundisha mababy mama wake
Hata wa mkewe wa kwanza alifundishwa na uchebe
 
Ila hii kesi yake na uchebe is very sensitive, nasikia yeye ndo chanzo cha ugomvi na uchebe, nasikia jamaa anakaaga na shilole hadi saa nane usiku , halafu baba levo nae ni mume wa mtu , na juzi niliona kapost Sijui walikua kwenye gar na shilole mara ziwa la shilole likaruka likatoka kwenye sidiria, I think that was too much

Wanamdharau sana uchebe, hiko kipigo cha shilole sawa sawa
Kuna wale walimuita uchebe chawa??
 
[emoji16][emoji16]
Anasema Msechu alifanyiwa kitu mbaya na mzee mmoja wa kigoma, msechu alimpa mimba binti wa huyo mzee na mzee alichofanya ni kuitoa mimba kwa binti yake na kuiweka kwa msechu...mpaka leo mimba imegima kutoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ni ishu ya kuto kata tamaa nadhani mfano mzuri ni kwa Darasa, enzi hizo anachana miaka ya 20003 na kuendelea nani angedhani jamaa angehit miaka kumi na tatu baadaye?
 
Jamaa kama mafanikio ya mziki aliyoyapata ni jina ambalo amelitumia kwenye siasa na kupitia ushawishi wa Zitto aliukwaa udiwani.

Na mambo yakimwendea vizuri mwaka huu ana ndoto ya kugombea ubunge Kigoma mjini.

Ucheshi anafanya just for funny he's not serious.
 
Mkuu kwa ubunge kigoma mjin anajidanganya bola abaki uko uko kwenye udiwan tu
 
Mkuu kwa ubunge kigoma mjin anajidanganya bola abaki uko uko kwenye udiwan tu
Amesema amekasirika kumuona dogo Nondo kuja kutangaza nia wakati yeye yuko kitambo hapo. Kama atakuja Zitto yuko tayari kumuachia ila sio Nondo.
 
Back
Top Bottom