Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilicheka sana ile anayosema shishi food ni brand yetu wote, halafu anasema kwa msisitizo

😂😂😂.. af siku hizi kila online Tv inamtafuta maana kawa comedian sasa. Watu wa Kigoma kweli wana diwani 😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23].. af siku hizi kila online Tv inamtafuta maana kawa comedian sasa. Watu wa Kigoma kweli wana diwani [emoji16]
[emoji1787][emoji1787] sijajua akiongea na wananchi ndio huwa anakuwa hivihivi au anakuwa siriazi? Wampe tu ubunge tuwe tunajionea comedy sie
 
[emoji1787][emoji1787] sijajua akiongea na wananchi ndio huwa anakuwa hivihivi au anakuwa siriazi? Wampe tu ubunge tuwe tunajionea comedy sie

Ubunge anaweza kuropoka 😂😂

Af anapenda kumponda peter msechu ingawa ni utani wa kirafiki... kwamba anakaa kibamba nyumba ya vyumba sita na korido mbili sh. 75000. Et Bora yeye aendelee kukaa mjini
 
Ubunge anaweza kuropoka [emoji23][emoji23]

Af anapenda kumponda peter msechu ingawa ni utani wa kirafiki... kwamba anakaa kibamba nyumba ya vyumba sita na korido mbili sh. 75000. Et Bora yeye aendelee kukaa mjini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna video amesema Msechu anatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ila hata hivyo hazimsaidii
 
Huyu jamaa nilianza kumjua enzi za Wanaume Halisi akiwa na Juma Nature miaka ile. Mara ya kwanza kumsikia niliona kipaji ndani yake,nikajisemea kuna watu hawastahili kuwa walipo.

Nilimuona kama ni mtu mwenye kipaji halisi na sio cha kulazimisha. Niliona ni mtu mwenye sauti ya kufanya mziki wowote iwe Rap au hata kuimba. Nikajiuliza mbona hafahamiki? Mbona media hazioni hiki kipaji badala yake wasanii wa hovyo tu wanapewa airtime.

Nimekuja kumfuatilia mwaka huu nikagundua ujio wake umeshamiri sana. Nimekuta ameanza kuwa maarufu kwenye sanaa ya mziki na ucheshi. Kwa sasa ni mmoja kati ya wasanii wanaofanyiwa interview na media nyingi sana.Ni moja kati ya watu ambao clips zao hazikosi kwenye mitandao.

Hongera sana Baba Levo.

Hoja yangu sio kusifia Baba Levo bali amekuwa kielelezo cha watu kutokukata tamaa mapema. Katika kutafuta mafanikio ni vyema tukapambana mpaka tone la mwisho. Mafanikio hayaji ghafla tu kama upepo. Kuna milima na mabonde. Hata ukiyapata bado utaihitaji subira kwenda zaidi na zaidi.
 
Anyway....naona watu wanapota tu huu uzi. Huyo baba levo ni nani na anahusika na nini?
 
Back
Top Bottom