DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Tumefanyaje?
Inasemekana nyie nimboga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefanyaje?
Anhaa kumbeeInasemekana nyie nimboga.
Kumbe Diamond ana hela nyingi kiasi cha kugawa ovyoAhahah , Ana kipaji sana halafu yuko so real , leo alinichekesha eti anaishi pazuri kwa kuwa ye maisha ni mteremko hanunui pombe wala chakula, akitaka kula anaenda kwa shishi, pombe akikutana na kina Diamond wanampa $100 maisha yanaenda so pesa yake anafanyia mambo ya msingi[emoji16]
Ni upuuzi tu, mwanamke lazima ajiheshimu hasa akiwa na familia na mume. Huwezi ruhusu mtu amdhihaki mumeo in anyhow, Shilole alipaswa kumkanya baba levo if Uchebe really mattered![emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu Uchebe alikuwa anachukia serious, shishi nae anaachaje mtu anamtania mumewe vile aisee
Mwanaume yoyote rijali hawezi kukubali madhereu, ndio maana hata mambele wakina Chris Brown huwa wanatembeza kipigo heavy.Ni upuuzi tu, mwanamke lazima ajiheshimu hasa akiwa na familia na mume. Huwezi ruhusu mtu amdhihaki mumeo in anyhow, Shilole alipaswa kumkanya baba levo if Uchebe really mattered!
Shida ni kuwa wanawake wakishaanza kuwa na migogoro kwenye ndoa huwa kuna mtu wa pembeni humuegemea for emotional support. Mnaitaga "shoulder to lean on" sasa ikitokea huyo mtu yuko charismatic & entertaining kama ilivyo kwa baba levo ndio things huwa worse zaidi maana anamfanya KE kuwa na furaha full time hadi anajisahau kwamba kuna mume ambaye anageuka kuwa kero tu. Ikifikia hapo 90% ya KE huwa lazma wapigwe mashine.
Kwa macho ya kibaharia ni ngumu kuniaminisha kuwa Baba Levo hajapiga kitumbua cha Shilole baada ya ukaribu wao wa ghafla na kumsifia vile na kum comfort.Imagine shilole ampigie simu baba levo am drive mpaka msibani moro...There was a fishy business going behind the scene hata Ile jeuri ya baba levo kumdiss uchebe wazi wazi ni dhahiri kwamba alisha win kwa Shishi na tabia ya wanawake ku expose madhaifu ya wenza wao wakishawachokaga kwa yule shoulder to lean on inafahamika.
Yap huyu ni bora kuliko yule anayecheka picha ya muhishimiwaHuyu Jamaa ananifuraishaga sana, wala hatumii nguvu ku trend, he is comedian naturally, Ana kipaji mno, Sijui kama kuna mtu anamchukia huyu jamaa.
Na kuhusu kupenda kum attack peter msechu Sijui kama wana bifu kweli au Ndo ubunifu tu ila namkubali sana , anafanya vizuri sana kwenye comedy.
Amesema amekasirika kumuona dogo Nondo kuja kutangaza nia wakati yeye yuko kitambo hapo. Kama atakuja Zitto yuko tayari kumuachia ila sio Nondo.
Ni baba ake Levo na ni MTU asiyejulikana anahusika na niniAnyway....naona watu wanapota tu huu uzi. Huyo baba levo ni nani na anahusika na nini?
Urafiki wa Baba Levo na Shishi ni wa siku nyingi sana.. Kabla ya ile kesi ya Baba Levo na kabla Uchebe hajamuoa Shishi.. kwa hiyo urafiki wao si wa ghafla kama ulivyosema.Ni upuuzi tu, mwanamke lazima ajiheshimu hasa akiwa na familia na mume. Huwezi ruhusu mtu amdhihaki mumeo in anyhow, Shilole alipaswa kumkanya baba levo if Uchebe really mattered!
Shida ni kuwa wanawake wakishaanza kuwa na migogoro kwenye ndoa huwa kuna mtu wa pembeni humuegemea for emotional support. Mnaitaga "shoulder to lean on" sasa ikitokea huyo mtu yuko charismatic & entertaining kama ilivyo kwa baba levo ndio things huwa worse zaidi maana anamfanya KE kuwa na furaha full time hadi anajisahau kwamba kuna mume ambaye anageuka kuwa kero tu. Ikifikia hapo 90% ya KE huwa lazma wapigwe mashine.
Kwa macho ya kibaharia ni ngumu kuniaminisha kuwa Baba Levo hajapiga kitumbua cha Shilole baada ya ukaribu wao wa ghafla na kumsifia vile na kum comfort.Imagine shilole ampigie simu baba levo am drive mpaka msibani moro...There was a fishy business going behind the scene hata Ile jeuri ya baba levo kumdiss uchebe wazi wazi ni dhahiri kwamba alisha win kwa Shishi na tabia ya wanawake ku expose madhaifu ya wenza wao wakishawachokaga kwa yule shoulder to lean on inafahamika.
Ila mazoea hadi ya kutambiana mtandaoni ni kitu cha kukitazama kwa ukaribuUrafiki wa Baba Levo na Shishi ni wa siku nyingi sana.. Kabla ya ile kesi ya Baba Levo na kabla Uchebe hajamuoa Shishi.. kwa hiyo urafiki wao si wa ghafla kama ulivyosema.
Sent using Jamii Forums mobile app
"anasema walipata meneja yeye na msechu,,,kesho yake msechu na mkewe wakaenda kwa meneja kuomba unga,sukari,mafuta na mchele na wakaangua maembe kwa meneja, meneja akaona eeh yaan tumesaini jana tu leo wananililia njaa akavunja mkataba"
Hili ndilo walipaswa kuliepuka...Ila mazoea hadi ya kutambiana mtandaoni ni kitu cha kukitazama kwa ukaribu
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1504119
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku Uchebe katoa povu kuhusu baba Levo na Shishi kuwa karibu, na kuchimba mkwara mzito, Shishi na baba Levo waka reply kwa pamoja kwa kumcheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe itakuwa bwana wako amekukimbia au dhakari haisimami mbona una hasira hivyo?Nenda kwa Dr Mauki akufanyie counselling..hii ni Celebrities Forum khaaaMapunguani ngoja niachane nayo!!
The way mnavo discuss tu hizo laki sita nishapata picha ya haraka uwezo wenu kimaisha.
Itoshe kusema mapunguani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Baba levo na msechu aisee[emoji23][emoji23][emoji23]unaweza vunjika mbavu kwa kicheko"anasema walipata meneja yeye na msechu,,,kesho yake msechu na mkewe wakaenda kwa meneja kuomba unga,sukari,mafuta na mchele na wakaangua maembe kwa meneja, meneja akaona eeh yaan tumesaini jana tu leo wananililia njaa akavunja mkataba"
Sasa Shishi alisahau kwamba Mtu mpaka kuwa Bodyguard ana uwezo wa kutembeza makonde?.....yeye akamfananisha na Nuhu.Halafu nimekumbuka, kuna ubuyu kautoa Aristotle ,kumbe bwana Uchebe alikuwa bodyguard wa Linah na alikuwa akilipwa elfu 20 kwa siku, Shishi akavutiwa naye akaamua kumchukua mazima.