Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Ahahah , Ana kipaji sana halafu yuko so real , leo alinichekesha eti anaishi pazuri kwa kuwa ye maisha ni mteremko hanunui pombe wala chakula, akitaka kula anaenda kwa shishi, pombe akikutana na kina Diamond wanampa $100 maisha yanaenda so pesa yake anafanyia mambo ya msingi[emoji16]
Hivi ni diwan wa wapi vile?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anasema akienda shishi food anakula anajigalagaza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilicheka sana ile anayosema shishi food ni brand yetu wote, halafu anasema kwa msisitizo

Halafu alipoulizwa kuhusu Uchebe, akajibu Uchebe yule mbwa yule... huku akiingia kwenye Uber.

Hata kama ni utani, kamzidi sana Uchebe kiasi cha kumshusha mno.
 
Halafu alipoulizwa kuhusu Uchebe, akajibu Uchebe yule mbwa yule... huku akiingia kwenye Uber.

Hata kama ni utani, kamzidi sana Uchebe kiasi cha kumshusha mno.
Kuna siku Uchebe katoa povu kuhusu baba Levo na Shishi kuwa karibu, na kuchimba mkwara mzito, Shishi na baba Levo waka reply kwa pamoja kwa kumcheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu Uchebe alikuwa anachukia serious, shishi nae anaachaje mtu anamtania mumewe vile aisee

Manamake mengine bana!!
Kutaniwa ataniwe mwingine, kipele kinamuwasha mwingine!!

Usiku wa Saa saba na dakika 11 kudiscuss maisha binafsi ya watu wasiowahusu!!

Ptuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom