Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Mapunguani ngoja niachane nayo!!

The way mnavo discuss tu hizo laki sita nishapata picha ya haraka uwezo wenu kimaisha.

Itoshe kusema mapunguani
 
Baza
Kuna siku Uchebe katoa povu kuhusu baba Levo na Shishi kuwa karibu, na kuchimba mkwara mzito, Shishi na baba Levo waka reply kwa pamoja kwa kumcheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mungu atusaidie tusipate watoto wakiume kama huyu anapika nakupakuliwa
 
Back
Top Bottom