Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Kumbe Diamond ana hela nyingi kiasi cha kugawa ovyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu Uchebe alikuwa anachukia serious, shishi nae anaachaje mtu anamtania mumewe vile aisee
Ni upuuzi tu, mwanamke lazima ajiheshimu hasa akiwa na familia na mume. Huwezi ruhusu mtu amdhihaki mumeo in anyhow, Shilole alipaswa kumkanya baba levo if Uchebe really mattered!

Shida ni kuwa wanawake wakishaanza kuwa na migogoro kwenye ndoa huwa kuna mtu wa pembeni humuegemea for emotional support. Mnaitaga "shoulder to lean on" sasa ikitokea huyo mtu yuko charismatic & entertaining kama ilivyo kwa baba levo ndio things huwa worse zaidi maana anamfanya KE kuwa na furaha full time hadi anajisahau kwamba kuna mume ambaye anageuka kuwa kero tu. Ikifikia hapo 90% ya KE huwa lazma wapigwe mashine.

Kwa macho ya kibaharia ni ngumu kuniaminisha kuwa Baba Levo hajapiga kitumbua cha Shilole baada ya ukaribu wao wa ghafla na kumsifia vile na kum comfort.Imagine shilole ampigie simu baba levo am drive mpaka msibani moro...There was a fishy business going behind the scene hata Ile jeuri ya baba levo kumdiss uchebe wazi wazi ni dhahiri kwamba alisha win kwa Shishi na tabia ya wanawake ku expose madhaifu ya wenza wao wakishawachokaga kwa yule shoulder to lean on inafahamika.
 
Mwanaume yoyote rijali hawezi kukubali madhereu, ndio maana hata mambele wakina Chris Brown huwa wanatembeza kipigo heavy.
 
Yap huyu ni bora kuliko yule anayecheka picha ya muhishimiwa
 
Duuuh bax itakuwa zitto anataka kugombea urais maana naona jimbo lake wapo kama wa 4 iv waliotangaza nia
Amesema amekasirika kumuona dogo Nondo kuja kutangaza nia wakati yeye yuko kitambo hapo. Kama atakuja Zitto yuko tayari kumuachia ila sio Nondo.
 
Huyu wa zamani kabla ya hapo alikuwa kwenye kundi sijui wanajiita K-town people, waliwahi kutoa wimbo unaitwa nakupenda enzi hizo radio kubwa RFA ulibamba sana
 
Urafiki wa Baba Levo na Shishi ni wa siku nyingi sana.. Kabla ya ile kesi ya Baba Levo na kabla Uchebe hajamuoa Shishi.. kwa hiyo urafiki wao si wa ghafla kama ulivyosema.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
"anasema walipata meneja yeye na msechu,,,kesho yake msechu na mkewe wakaenda kwa meneja kuomba unga,sukari,mafuta na mchele na wakaangua maembe kwa meneja, meneja akaona eeh yaan tumesaini jana tu leo wananililia njaa akavunja mkataba"

🤣🤣
 
Kupata interview kwenye media na clips kusambaa mitandaoni ndio mafanikio?
By the way namkubali sana Diwani Baba Levo
 
"anasema walipata meneja yeye na msechu,,,kesho yake msechu na mkewe wakaenda kwa meneja kuomba unga,sukari,mafuta na mchele na wakaangua maembe kwa meneja, meneja akaona eeh yaan tumesaini jana tu leo wananililia njaa akavunja mkataba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Baba levo na msechu aisee[emoji23][emoji23][emoji23]unaweza vunjika mbavu kwa kicheko
 
Halafu nimekumbuka, kuna ubuyu kautoa Aristotle ,kumbe bwana Uchebe alikuwa bodyguard wa Linah na alikuwa akilipwa elfu 20 kwa siku, Shishi akavutiwa naye akaamua kumchukua mazima.
Sasa Shishi alisahau kwamba Mtu mpaka kuwa Bodyguard ana uwezo wa kutembeza makonde?.....yeye akamfananisha na Nuhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…