Pre GE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Pre GE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuambiwa upige mbizi kama huna miambili, hapo ukatili uko wapi?. Mbona kwenye daladala unakuwa mpole tuu ikiambiwa piga nyama chini kama huna nauli?.
Kwa hiyo unafananisha ufahamu wa Raisi wa nchi na ufahamu wa kibangibangi wa Konda?Kama ni hivyo basi itakuwa majanga!
 
Chini ya JPM, tumeshuhudia jamii ya Watanzania ikiwa imegawanyika pasu-pasu kwa misingi ya itikadi kinzani za vyama vya siasa. Mgawanyiko wa jinsi hii haujawahi kutokea kwenye awamu yoyote ya urais huko miaka ya nyuma...
Nimesoma paragraph yako ya namba 5 na 4 du nimekuhurumia sana KILICHO BADIRIKA NI WINE CHUPA NI YA FANTA HAHA MAMA WAKAMUE HAO WAMESHAANZA KUJITENKENYA NA KUCHEKA WENYEWE
 
Acha uchochezi, wakati mwingine ni ngumu kuthibiti hisia za raia katika tukio kama hili, usichanganye mambo
Unapowaambia Mamilioni ya Watu waende kwenye Uwanja uwezo wa kuchukua watu 40,000 lengo linakuwa ni nini?
 
Chini ya JPM, tumeshuhudia jamii ya Watanzania ikiwa imegawanyika pasu-pasu kwa misingi ya itikadi kinzani za vyama vya siasa..
Sijawahi kuona Tanzania iliyopasuka tangu nizaliwe na haitokuwepo. Na kama mpasuko unaousema ni ule wa kuwakumbatia hawa wasaliti wa taifa kama Lema na Lissu basi mmenoa. Mama anajitambua wala hamtampata kirahisi.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unafananisha ufahamu wa Raisi wa nchi na ufahamu wa kibangibangi wa Konda?Kama ni hivyo basi itakuwa majanga!
Rais wa nchi hawezi kuwa Malaika, na ww huwezi kumpangia maneno ya kuongea, hizo ni cheap politics, Watz tulishazoea sana ulaini bila Wajibu, kulipa nauli ni wajibu wako,
 
Chini ya JPM, tumeshuhudia jamii ya Watanzania ikiwa imegawanyika pasu-pasu kwa misingi ya itikadi kinzani za vyama vya siasa...
Twende taratibu: Rais Samia kajieleza vizuri. Unasema eti hawo wapinzani hawakutajwa, umekosea. Sema kwamba hawakuwako, alikuwako Shibuda na alitajwa na MC. Of course hwakuwapo kwa vile hawamo bungeni.

Hadi tunavyoongea ukiwauliza CHADEMA watakwambia hawana wabunge, yaani kina Sugu na Mbatiya hawakupita, walishindwa. Unasema eti kuna mgawanyiko, hakuna kitu kama hiko. Kuna wabubge 367 kati ya hawo 365 ni CCM.

Huyo mmoja au wawili waliyebaki kama ni kujigawa watajigawaje zaidi ya huku na huku au kukaa lwao njenje? Pia unadai kuna itikadi kinzani, hakuna kitu kama hiko.

Hakuna itikadi kinzani, 365-2 haiwezekani ikawa na kujigawa, itikadi ni HAPA KAZI TU, MAPINDUZIIIIIIIII.
 
Unapiga ramli tuu,mtu hata wiki bado na tuko kwenye msiba duu.Mmeshaanza mambo yenu
 
All- in -All,Huyu hawezi kuwa na ukatili kama wa Jiwe.Unless ajifunze,na ukatili wa kujifunza sio sawa na ule wa asili kama wa Jiwe;mtalimia meno,mtapiga mbizi kama hamna mia mbili.....Jiwe alishaonyesha ukatili toka enzi hizo hajawa raisi!
Kuambiwa upige mbizi kama huna mia mbili ni ukatili?we ukatili unaujua kweli?
 
Suala la stampede mama anafichwa na kudanganywa eti ni majeruhi wachache tuu. Akina Mambojuzi ni watu hatari sana
 
Mjiandae kisaikolojia tu , tunawaambia ukweli, Lissu amekejeli sana kifo cha JPM, mwambieni yeye atazikwa huko huko Belgium, Tz akirudi atakutana na vijana wa mtaani watakaompa halali yake. Hakuna haja ya TISS kuhangaika naye, washenzi wa mtaani wanadondoshwa na bisibisi tu.
Ndiyo wanavyokutuma
 
Kuambiwa upige mbizi kama huna mia mbili ni ukatili?we ukatili unaujua kweli?
Ukiwa kiongozi wa nchi hutakiwi kuwa na majibu ya kihuni.Kumbuka unakuwa unaongoza watu wenye status tofauti!
 
Hebu tusubiri msiba uishe na Madame alishasema pia subirini tumpumzishe JPM mambo mengine tutaongea.
 
Back
Top Bottom