Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la Iringa masaa machache tu yupo IRinga. The same na wanaoenda ARUSHA kwa sasa wanapanda SGR mpaka DODOMA then ukifika dom to arusha masaa sita tu upo A town.
ASANTE SAMIA
ASANTE SAMIA