Utoke Dar uende Dom halafu Dom uende Arusha huo ni ukichaa.Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la Iringa masaa machache tu yupo IRinga. The same na wanaoenda ARUSHA kwa sasa wanapanda SGR mpaka DODOMA then ukifika dom to arusha masaa sita tu upo A town.
ASANTE SAMIA
Japo natumiaga gulfstream 6500 yangu nimeshangaa asee.Utoke Dar uende Dom halafu Dom uende Arusha huo ni ukichaa.
Nauli SGR Dar-Dom @80,000?Kwa safari ya Arusha na Iringa kupanda SGR ukaunganishe Dodoma labda kama unafanya utalii,,,lakini unazidi kupoteza muda.
Nilitaka kuandika maneno yanayo shabihiana ila umemaliza, hata abiria wa Iringa ni hivyo hivyo.Utoke Dar uende Dom halafu Dom uende Arusha huo ni ukichaa.
Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la Iringa masaa machache tu yupo IRinga. The same na wanaoenda ARUSHA kwa sasa wanapanda SGR mpaka DODOMA then ukifika dom to arusha masaa sita tu upo A town.
ASANTE SAMIA
Niliandika mada fulani same like ila kuna binadamu akili zao zimefungwa hawawezi kufungua code no hii hapa; TRC, Chukueni Ushauri Huu na Wenye Mabasi someni hapahawana market research. wenye mabasi ilipaswa watangaze safar za mwanza let say muda inapoingia sgr ya dar dom ile ya mwanzo mwanzo
na wao wanaanza safar sasa unakuta wao mbio mbio wanaanza safar dom mwanzasqa 12 asanh walalt huo kuna abiria anawah dom aunge mwanza. kpuni za mabas ni mali za mifukon no research