Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Huyo ni Makonda angekuwepo madarakani leo hii ungesikia anamwagiza mamboleo.
Sasa hivi atamuona Lissu kwenye updates za kwenye mitandao humu.

Pia vilevile sababu yeye siku ya tukio alikuwa Dodoma, watu wanasema ndio alikuwa mastermind wa tukio nae ajiandae. Kuna wanaopenda kulipa visasi kwa niaba. Manina atajua tu kuwa aliwaudhi wengi. Na huko kigamboni aliponaje? Hata mishale haikuwepo? Hizi kero ni kuziondoa mapema.
 
Ujio wa lissu ni sawa kwa mapana yake na marefu yake kwangu naona sawa.

Mshana Jr je, umewekewa uvuli wa mauti au akili zimecheza? Ni nani aliyekudanganya kwamba wana wanadhoofika?

Nikikuamini kama msomi na mtafiti mbobevu ni wapi umefeli mtani wangu?

Weka vidhibiti mwendo my dear, mwana saa hii ndo yuko huru anatembea kama kondoo aliyelowa ili ajiokotee mawindo ya kushiba.

Wakati huu waweza kuwa nyakati mbaya kuliko zote huko mbeleni, tena aweza anza kazi ya kuuza vikombe na visahani mtaani kwako mtatia story ila siku ya tatu historia yako itakoma.

Note me.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr hajafeli mtihani. Tunajua kabisa kuwa atateuliwa hata may be kuwa hata PM or any other high position, Ndungulile anaweza akakatwa, akawekwa "huyo" na akatangazwa kwa nguvu! ...kumbuka -"nikupe gari, mshahara ........ halafu umtangaze mpinzani". Take home msg ni kuwa huyu mtu UMMA haumpendi kama wanavyomshangilia anapotokeza mahali, "wajumbe" wabaya! Kibaya UMMA unamhisi kupiga risasi 36! na kufanikisha 16! kupenya
 
Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!

P
Wajumbe siyo watu, ndiyo maana walikunyoosha!
 
Tetea tu Lakin ukweli ndio huwo.
 
Kinabii kuna kitu/mabadiliko yanakwenda tokea, wakati wa Mungu si wa binadamu, mwenge zindiko limekiukwa sababu ya corona,suspect kachezea spana,nguzo mbabe wa ccm Mungu kampenda huyu alitumia vyote nguvu na akili kuibeba Ccm oyee waliobaki msamiati wa matumizi ya akili hawana kwao nguvu ndo jawabu,wakakosea kuwazoeza polisi kukamata watu hii ni mbaya sana ktk nchi watu wakishazoea kukamatwa utiisho na uoga utoweka.
Prophecies asubui kumekucha.Hakuna cha Jecha Wala Lubuva Safari hii,anga limefunguka.
Bado ninamashaka makubwa sana na tume hii ya uchaguzi. Itachakachua matokeo. Anga bado halijafunguka.
 
Mshana Jr hajafeli mtihani. Tunajua kabisa kuwa atateuliwa hata may be kuwa hata PM or any other high position, Ndungulile anaweza akakatwa, akawekwa "huyo" na akatangazwa kwa nguvu! ...kumbuka -"nikupe gari, mshahara ........ halafu umtangaze mpinzani". Take home msg ni kuwa huyu mtu UMMA haumpendi kama wanavyomshangilia anapotokeza mahali, "wajumbe" wabaya! Kibaya UMMA unamhisi kupiga risasi 36! na kufanikisha 126!
"wajumbe" wabaya! Kibaya UMMA unamhisi kupiga risasi 36! na kufanikisha 126![emoji848][emoji52][emoji46]
 
Mshana Jr,
Lawama abebe 'messenger'?

Haya bwanaah!
IMG-20200726-WA0001.jpg
 
Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!

P
Hivi Mkuu Pasco kwa akili ya kawaida tu humuoni mtuhumiwa? Aisee
 
Back
Top Bottom