Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!
P
Kwenye crime investigation pale ambapo third part alifanikiwa kufanya jambo na ghafla alipofanya tukawaza au kumsingizia fulani ambaye hakuwahi kuthibitishwa..huyu mtu wa tatu atakuwa huru, yuko huru, was never suspected..he worn that easily
Kama yupo huyo third part na yuko huru na hakuwahi kuwaziwa, ATAFANYA TENA, and this time, kama aliyefanya mwanzo alifanya kugombanisha wananchi na serikali...safari hii akifanya tena, hali itakuwa mbaya, kwanza wanaweza wasimwache hai
Kuanzia mwanzo wa swala hili, ulinzi pekee wa kumlinda Lissu ulitakuwa Lissu ajibanze au kukimbilia kwa rais!!! Hii inahitaji IQ ya hali ya juu sana
Rais angemlinda dhidi ya watesi wake.Naam kama rais ndie anahusika kumshambulia Lissu BADO STILL ingekuwa mpe mchawi amlelee mwanao, bado angepona. Rais asingekubali mtu apotee ambaye kaja kwake kwa ulinzi, we only live once.
Kama huyu third part yuko mtaani, anadunda hakuwahi kudhaniwa wala kutajwa.he will surely atrike it again
Kwa akili zangu za assassination, shambulio la Lissu was never planned na serikali, eti wauaji wamfuatilie kutoka dsm kwenda dodoma, wapige risasi 32 mchana kweupe kutisha watu...apelekwe hospitali ya serikali, apate kibali cha anga ndege impeleke Kenya, common.Kama ingekuwa ni Rais kasema afe, angekufa tu.
Rais wa Tanzania sio uchebe mme wa shilole
The one who did it is out there, probably very close to Lissu, na wakimuua watapata sympathy za kisiasa, au kuvuruga nchi