Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Naam, Naam Mkuu. Mwanadamu hujidanganya kwa kuamini katika uwezo na nafasi yake huku akisahau kwamba "nyakati" zina maamuzi makuu katika mustakabali wa maisha yake...
Waweza kuwa juu leo ukamkanyaga aliye chini kwa maguvu na hila zote ukiamini baiskeli inakwenda kwa pedal moja...!!!?
Ukitaka kuwa perfect kuwa budha utaijua dunia,sio unajiendea tu ka jing'ombe.Dunia imejengwa kwenye mifumo na misingi ya kanuni.Do and don't do.
 
Kuna vitu vinatokea kwa namna ya kipekee na ajabu kabisa. Ujio wa Lissu kurejea nyumbani akiwa bukheri wa afya una mengi ya kusimulia

Lissu aliyeondoka mahututi hajitambui kwenye machela baada ya kunusurika kifo cha risasi 36, anarejea nchini akiwa mwenye tabasamu na matumaini mengi.

Mtuhumiwa wake kwenye shambulio husika wakati huo alikuwa mwenye mamlaka na nguvu nyingi akiivinjari nchi atakavyo huku akifanya atakayo bila kuguswa na yeyote yule.

Leo hii Lissu anaporejea nchini mtuhumiwa wake si lolote si chochote tena(labda huko mbeleni) mtuhumiwa wake sasa ni mwananchi wa kawaida kabisa mwenye msongo wa mawazo huku sintofahamu ikimtawala kuhusu future yake. Anachosubiri kwasasa ni huruma ya mkulu kama kwa bahati mbaya wakiweza kufanya figisu.

Imagine leo hii Lissu anapokaribia kabisa kurudi mwana bado angekuwa na yale maguvu yake, sipati picha ingekuwaje. Kuna maanguko huja kwa hatua. Wazungu wanasema: A day when everything went wrong. Waswahel wanasema siku imeanza vibaya, na siku ya kufa nyani miti yote huteleza.

Umeteleza wa ubunge kwenye kura za wajumbe, unaweza kuteleza kwenye uteuzi, ama kwenye viti maalum.

Mambo huja kinyume. Wakati Lissu atakapokuwa kwenye msafara wa hiari, mwana atakuwa kajificha mahali na remote mkononi akiangalia kwa uchungu live updates za mbaya wake mwenye na uso wa tabasamu kubwa.
Yote yanaweza kutokea ameteleza Nape, akateleza J Makamba, akateleza Kinana, akateleza Membe kwani yeye nani??
 
Mshana Jr,

Kinabii kuna kitu/mabadiliko yanakwenda tokea, wakati wa Mungu si wa binadamu, mwenge zindiko limekiukwa sababu ya corona,suspect kachezea spana, nguzo mbabe wa CCM Mungu kampenda huyu alitumia vyote nguvu na akili kuibeba CCM oyee waliobaki msamiati wa matumizi ya akili hawana kwao nguvu ndo jawabu, wakakosea kuwazoeza polisi kukamata watu hii ni mbaya sana ktk nchi watu wakishazoea kukamatwa utiisho na uoga utoweka.

Prophecies asubui kumekucha. Hakuna cha Jecha Wala Lubuva Safari hii, anga limefunguka.
Itakuwa poa sana. Na Mungu ajalie unabii huu utimie
 
Ana uhuru wa kutoa mawazo yake na mtazamo kwa ww unamjua maana hatuoni kama kuna mtu katajwa jina sasa unajikuna unawashwa au.
Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!

P
 
Hakuna mda karma ndo hii sheria haina ushikaji
Wafipa tuna misemo yetu miwili inafanana sana

1. Time will tell
2. Time will heal all the wounds.

Sio kila mbwa Koko anayebweka mbele yako umpige kwa mawe, wengine ni wa kuwaacha tu wabweke wewe upite zako.

Ntafurahi sana iwapo Tundu Lissu atawasamehe watesi wake wote na kuuachia muda na karma viwahukumu.
 
Kuna vitu vinatokea kwa namna ya kipekee na ajabu kabisa. Ujio wa Lissu kurejea nyumbani akiwa bukheri wa afya una mengi ya kusimulia

Lissu aliyeondoka mahututi hajitambui kwenye machela baada ya kunusurika kifo cha risasi 36, anarejea nchini akiwa mwenye tabasamu na matumaini mengi.

Mtuhumiwa wake kwenye shambulio husika wakati huo alikuwa mwenye mamlaka na nguvu nyingi akiivinjari nchi atakavyo huku akifanya atakayo bila kuguswa na yeyote yule.

Leo hii Lissu anaporejea nchini mtuhumiwa wake si lolote si chochote tena(labda huko mbeleni) mtuhumiwa wake sasa ni mwananchi wa kawaida kabisa mwenye msongo wa mawazo huku sintofahamu ikimtawala kuhusu future yake. Anachosubiri kwasasa ni huruma ya mkulu kama kwa bahati mbaya wakiweza kufanya figisu.

Imagine leo hii Lissu anapokaribia kabisa kurudi mwana bado angekuwa na yale maguvu yake, sipati picha ingekuwaje. Kuna maanguko huja kwa hatua. Wazungu wanasema: A day when everything went wrong. Waswahel wanasema siku imeanza vibaya, na siku ya kufa nyani miti yote huteleza.

Umeteleza wa ubunge kwenye kura za wajumbe, unaweza kuteleza kwenye uteuzi, ama kwenye viti maalum.

Mambo huja kinyume. Wakati Lissu atakapokuwa kwenye msafara wa hiari, mwana atakuwa kajificha mahali na remote mkononi akiangalia kwa uchungu live updates za mbaya wake mwenye na uso wa tabasamu kubwa.
need to be cool otherwise passion could kill
 
Ujio wa lissu ni sawa kwa mapana yake na marefu yake kwangu naona sawa.

Mshana Jr je, umewekewa uvuli wa mauti au akili zimecheza? Ni nani aliyekudanganya kwamba wana wanadhoofika?

Nikikuamini kama msomi na mtafiti mbobevu ni wapi umefeli mtani wangu?

Weka vidhibiti mwendo my dear, mwana saa hii ndo yuko huru anatembea kama kondoo aliyelowa ili ajiokotee mawindo ya kushiba.

Wakati huu waweza kuwa nyakati mbaya kuliko zote huko mbeleni, tena aweza anza kazi ya kuuza vikombe na visahani mtaani kwako mtatia story ila siku ya tatu historia yako itakoma.

Note me.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamito. Hebu iweke hii kwenye lugha itakayotufaa sisi wa komoni sensi.
 
Miongoni mwa mbinu za kisiasa anazotumia mkulu ni mbinu ya "tengua teua" ili kumfanya mtenguliwa kisha kuteuliwa tena awe too loyal kwa mteuaji, hii iko applicable kwa mwana, kaangushwa ili ajifunze baadhi ya mambo, kisha atainuliwa hadi juu akiwa amejirekebisha. Kumtengua direct ingekuwa ni fedheha kuu kwake.
mhhh we jamaa comment yako haina mantiki,,,kwani mwana(bintimfalme) ameangushwa na mkuu au na wajumbe???
 
Hii inahitaji IQ ya hali ya juu sana

Kwa akili zangu za assassination, shambulio la Lissu was never planned na serikali, eti wauaji wamfuatilie kutoka dsm kwenda dodoma, wapige risasi 32 mchana kweupe kutisha watu...apelekwe hospitali ya serikali, apate kibali cha anga ndege impeleke Kenya, common.Kama ingekuwa ni Rais kasema afe, angekufa tu.

Rais wa Tanzania sio uchebe mme wa shilole

The one who did it is out there, probably very close to Lissu, na wakimuua watapata sympathy za kisiasa, au kuvuruga nchi
Mkuu Waberoya, kwanza nakukubali sana, wewe ni miongoni mwa wana jf wachache wenye high IQ.

Baada ya shambulio mimi nilisema kitu kama hiki ilichokisema wewe hapa,

Ila kwa vile wengi wa wana jf ni watu wenye average IQ, hivyo kunapotokea issues zinazohitaji watu wenye high IQ kuzielewa, mtu unajikutwa unaishia kubezwa!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.

Ukweli unaujua sana Pascal lakini maslahi yako uliyo nayo plus verified id zinakufanta upindishe baadhi ya mambo.
Ukweli ni kwamba huenda rais hakuagiza moja kwa moja jamaa ashughulikiwe lakini kwasababu walijua rais hampendi, watu wa karibu naye ndiye walimshughulikie...walitegemea baada ya tukio wamtaarifu kuwa usiyempenda tumemshughulikia mzee.
Na sio mwingine bali ni DAB.
Hebu jibu haya;
1. Kwanini alinyimwa matibu na serikali?
2. Kwanini alisitishiwa ubunge wake?
3. Kwanini rais alifurahia jimbo kuchukuliwa na akatamka wazi sasa ndio jimbo limepata mbunge na tutapeleka huduma?
 
Acha kuzingua ww ukipata msiba ghafla ukienda kutoa taarifa kwa ndg zako lazma uvae shati jeusi. Uzungu na officialism punguza. Hapa ishu culprit in future atakuwa reveal mambo ya mashati baki nayo
Maagizo mengi ya mkuu yana utata na anayatoa kwa vitisho kwa waandamizi wake. Hizi amri kama vile “mshughulikieni huyo kadiri mnavyoweza”...au “huyo nisimsikie tena”... zinaweza kuwafanya watu wake wafikiri mkuu anataka asikie tanzia. Ndio maana siku hizi amekuja kuona umuhimu wa kuwaambia polisi wasitumie nguvu kupitiliza. Mkuu anakosea mambo mengi ya msingi kama ilivyokuwa juzi kutangaza msiba wa taifa akiwa amevalia shati la maua maua. Makosa ni mengi mno kwa mwenye akili.
 
Mkuu Waberoya, kwanza nakukubali sana, wewe ni miongoni mwa wana jf wachache wenye high IQ.

Baada ya shambulio mimi nilisema kitu kama hiki ilichokisema wewe hapa,

Ila kwa vile wengi wa wana jf ni watu wenye average IQ, hivyo kunapotokea issues zinazohitaji watu wenye high IQ kuzielewa, mtu unajikutwa unaishia kubezwa!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.

P
Nyie mna roho za kishetani kabisa. Kama shambulio lilipangwa na Chadema kwa nini polisi wasingelichunguza na kuwatia hatiani tena ndiyo wangepata hata fursa ya kuifuta kabisa Chadema kwani ndiyo matamanio yao ya kila siku. Lakini siku yaja na haiko mbali ukweli utawekwa wazi sijui utaficha wapi uso wako.
 
Back
Top Bottom