Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kuna watu bwana Pascal walisema kuwa kijana mmoja alionekana Dodoma siku ya tukio na kesho yake asubuhi mjini Morogoro.Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!
P
Kijana huyo ametuhumiwa hadi na USA kuwa anahusika na kuzuia watu kuishi. Jee Polisi pamoja na kuambiwa kijana huyo anashukiwa kuhusika wamewahi kumhoji? Kama wameshindwa jee inazuia RAIA wema akiwepo Mshana Jr kuendelea kumtaja mshukiwa huyo?
Tutaendelea kusema huyu ni mshukiwa na ana baraka za polisi