Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Huyo ni Makonda angekuwepo madarakani leo hii ungesikia anamwagiza mamboleo.
Sasa hivi atamuona Lissu kwenye updates za kwenye mitandao humu.

Pia vilevile sababu yeye siku ya tukio alikuwa Dodoma, watu wanasema ndio alikuwa mastermind wa tukio nae ajiandae. Kuna wanaopenda kulipa visasi kwa niaba. Manina atajua tu kuwa aliwaudhi wengi. Na huko kigamboni aliponaje? Hata mishale haikuwepo? Hizi kero ni kuziondoa mapema.
 
Mshana Jr hajafeli mtihani. Tunajua kabisa kuwa atateuliwa hata may be kuwa hata PM or any other high position, Ndungulile anaweza akakatwa, akawekwa "huyo" na akatangazwa kwa nguvu! ...kumbuka -"nikupe gari, mshahara ........ halafu umtangaze mpinzani". Take home msg ni kuwa huyu mtu UMMA haumpendi kama wanavyomshangilia anapotokeza mahali, "wajumbe" wabaya! Kibaya UMMA unamhisi kupiga risasi 36! na kufanikisha 16! kupenya
 
Wajumbe siyo watu, ndiyo maana walikunyoosha!
 
Tetea tu Lakin ukweli ndio huwo.
 
Bado ninamashaka makubwa sana na tume hii ya uchaguzi. Itachakachua matokeo. Anga bado halijafunguka.
 
"wajumbe" wabaya! Kibaya UMMA unamhisi kupiga risasi 36! na kufanikisha 126![emoji848][emoji52][emoji46]
 
Hivi Mkuu Pasco kwa akili ya kawaida tu humuoni mtuhumiwa? Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…