Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Your browser is not able to display this video.
 
Mikocheni ,kinondoni block 41, msasani wanafungua migahawa yao na supermarket zao yale majengo na ardhi wameyanunua kabisaa.............sasa hapo ndio kivumbi kinapoanzia.........sisi tumelala yoyo wenyewe wanapiga pesa...........
 

"I can legitimately argue that Nyerere did a better job economically than any other president"

☝️☝ Back this up
 
Kwani majasusi wetu wa kiuchumia wanasemaje na wamejiandaje?
Wanasema Mbowe na Lisu,we acha tu ndugu yangu,ujasusi wa hapa ni wa vyeo tu.Ukiua kiwanda unapewa cheo,ukitukana kiti unapotea au kufungwa kabisa
Unaanzisha kiwanda halafu watching wanaleta bidhaa hiyo hiyo japo feki kwa bei ta kutupa na hawalipi kodi stahiki
Nimeskitika maana kuna kiwanda niliwahi kufunga baada ya wachina kuleta bidhaa feki na kwa bei ya chini,nikiumia haswa,vijana walilia kabisa
 
Iko hivi madalali wa kichina wana watu wao.. Wanawalipa 1M kwa ajili ya kusimama kama wanunuzi.. Kisha wakishanunua ndio wanasajili kampuni na kumpa mbongo adilimia chini ya kumi
Baada ya hapo wanantafuta mteja atakayekwendwa TIC ..
Basi ardhi bado iko chini ya Mtz.
 
Uganda machotara wa kichina wengi sana mimi mpaka kuna mmoja nimebahatika amenizalia mtoto
 
Mao alimwambia Nyerere anaomba amletee wachina laki moja, Nyerere akasema Kama ni urafki bora ufe, sasa kina Mangungo wanaletewa wachina laki tano, almost kabila zima jipya linaongezeka, wanashangilia
 
acheni ushamba, kwani wakija, wanachukua pesa zenu mfukoni, fanyeni kazi, dunia hii ni ya wote, wakija wataanzisha biashara, zinaleta mzunguko wa pesa na kodi na vitu vinapatikana kwa bei rahisi. acheni waje walete na ustaarabu, tangu mmebaki peke yenu mmefanya nini la maana zaidi ya siasa chafu na uzinzi tu.
 
Baada ya vizazi vitatu vijavyo tutakuwa na nyumba za kufanyia ibada kwenye mitaa yote nchini
Baada ya vizazi vitatu vijavyo tutakuwa na nyumba za kufanyia ibada kwenye mitaa yote nchini . Tutakuwa tumefikia wetu mil 150, Huku watanganyika wakiwa wanakesha misikitini na makanisani na kupigania dini waliezoletewa na wazungu na waarabu badala ya kupigania rasilimali walizopewa na Mungu Muumbaji .
 
Mchina ni mkoloni mpya anayejitetea kwa kigrzo cha kutoa ajira ya sh 6000/=Kwa siku hii ni hatari.Yaani Mungu atusaidie,maana wanasomba kila wanachoona kinawafaa.
😄Serikali yenu inafanya nini kuhusiana na hiyo hali, au wao wakishahongwa huko juu inatosha.
 
Heri yako wewe BOYA umeongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…