Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Wananunuaje maeneo wakati sheria yetu ya ardhhi hairuhusu mgeni kuuziwa ardhi isipokuwa tu kwa ajili ya uwekezaji
Sheria gani ,ambayo mpaka Sasa inatuona sisi
Sheria za ardhi zinasemaje hasa kwa raia wa kigeni ?
Sheria gani unazungumzia hizi ambazo bado zinatuona watanzania wote tuko chini ya miaka 18.....kwamba RAIS ndo mdhamini wetu kwenye matumizi ya ardhi
 
Hili Nimeliona Mkoa Mmoja Wananunua Maeneo Ambayo Wakishika Basi Wazawa Mtafyata
Tatizo tummelala miaka, wachina wanawekeza viwanda na kilimo sisi mabasi na maduka ya kuuza bidhaa zilizozalishwa na wengine, serikali haiwezi kusubiri tuamke, kuna wakati natamani hata vibarua watoke China ili kuongeza tija, sisi tunapenda mishahara mikubwa isiyolingana na utendaji kazi hata serikalini. Fikiria yaliyofichuliwa juzi kituo cha miito Tanesco, yaani hadi Waziri aje? Na mkurugenzi yupo
 
Viongozi wstu, tuliowaamini na kuwapa madaraka, ndio WANATUSALITI. vingi wanafanya kwa manufaa yao, wanajitizama wao na vizazj vyao, kisha ndio tanzania itafata, ukiona dili fulani linaifaidisha taifa basi ujue maslahi ya kiongozi na wanawe yameshazingatiwa, kisha ndio mnakuja nyinyi vilembwekeza
 
Back
Top Bottom