Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali yenu iwape ajira hakuna ukoloni leo hiiMchina ni mkoloni mpya anayejitetea kwa kigrzo cha kutoa ajira ya sh 6000/=Kwa siku hii ni hatari.Yaani Mungu atusaidie,maana wanasomba kila wanachoona kinawafaa.
Tuwaongeleeni nyie mkuuSisi? Wewe ukiwa wapi?
Upo sahihi mkuu, hakuna kabisa huo mpangoHakuna huu mpango.
Umbea huu
Wewe wasema maana unakaa kwenye ofisi yenye AC na tatizo sio hilo labda hutembei.Ajira we unaona za sirikali zinaanza kwa watoto wa viongozi,pengine na wewe ni mmojawapo.Serikali yenu iwape ajira hakuna ukoloni leo hii
Ukoloni umebadiliahwa jina tu,na kuitwa mwekezaji😂Upo sahihi mkuu, hakuna kabisa huo mpango
Sheria gani ,ambayo mpaka Sasa inatuona sisiWananunuaje maeneo wakati sheria yetu ya ardhhi hairuhusu mgeni kuuziwa ardhi isipokuwa tu kwa ajili ya uwekezaji
Sheria gani unazungumzia hizi ambazo bado zinatuona watanzania wote tuko chini ya miaka 18.....kwamba RAIS ndo mdhamini wetu kwenye matumizi ya ardhiSheria za ardhi zinasemaje hasa kwa raia wa kigeni ?
Tatizo tummelala miaka, wachina wanawekeza viwanda na kilimo sisi mabasi na maduka ya kuuza bidhaa zilizozalishwa na wengine, serikali haiwezi kusubiri tuamke, kuna wakati natamani hata vibarua watoke China ili kuongeza tija, sisi tunapenda mishahara mikubwa isiyolingana na utendaji kazi hata serikalini. Fikiria yaliyofichuliwa juzi kituo cha miito Tanesco, yaani hadi Waziri aje? Na mkurugenzi yupoHili Nimeliona Mkoa Mmoja Wananunua Maeneo Ambayo Wakishika Basi Wazawa Mtafyata