Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Wanajenga vingi sana lakini
Material ya ujenzi 90% wanatoa kwao
Tenda wanapeana wenyewe
Ni wakwepa kodi wakubwa
Hawafuati sheria za kazi
Pesa wanazoingiza zinasafirishwa China kwa njia zisizo rasmi na kuikosesha serikali mapato mengi
Kwa serikali inayofikiri hatuna haja nao Kama watakuja na utartibu wao
 
Wanajenga vingi sana lakini
Material ya ujenzi 90% wanatoa kwao
Sawa. Huenda material ya ujenzi ya hapa bongo imechakachuliwa kupita maelezo. Sasa kwa nini atumie material fake ilihali material Og ipo na anaweza kuipata? Wakati wa kuweka Mkataba ilitajwa kwamba materials ni sharti zitoke wapi?
Tenda wanapeana wenyewe
Wabongo hawana Qualifications zinazotakiwa. Kwa nini wamchukue boya mmbongo?
Ni wakwepa kodi wakubwa
Huo ni Udhaifu wa TRA. Mchina kaona upenyo kwenye madhaifu yao.
Hawafuati sheria za kazi
Kwani Wizara husika imelala au ndo wanawapepelea kwa kupewa kitu kidogo?
Pesa wanazoingiza zinasafirishwa China kwa njia zisizo rasmi na kuikosesha serikali mapato mengi
Huo ni udhaifu wa Serikali yetu. Mbona Serikali hii hii imeweza kusimamia Tozo lukuki ilizojiwekea inashindwaje kwa Mchina? au ndo kwa "urefu wa kamba"
 
Sawa. Huenda material ya ujenzi ya hapa bongo imechakachuliwa kupita maelezo. Sasa kwa nini atumie material fake ilihali material Og ipo na anaweza kuipata? Wakati wa kuweka Mkataba ilitajwa kwamba materials ni sharti zitoke wapi?

Wabongo hawana Qualifications zinazotakiwa. Kwa nini wamchukue boya mmbongo?

Huo ni Udhaifu wa TRA. Mchina kaona upenyo kwenye madhaifu yao.

Kwani Wizara husika imelala au ndo wanawapepelea kwa kupewa kitu kidogo?

Huo ni udhaifu wa Serikali yetu. Mbona Serikali hii hii imeweza kusimamia Tozo lukuki ilizojiwekea inashindwaje kwa Mchina? au ndo kwa "urefu wa kamba"
Iko hivi kwenye BOQ wanaandika material yanatoka bongo
Kisha wanaagiza malighafi na kutengenezea hapa hapa
 
Wananunuaje maeneo wakati sheria yetu ya ardhhi hairuhusu mgeni kuuziwa ardhi isipokuwa tu kwa ajili ya uwekezaji
Sasa si ndio wananunua ili wafanye taratibu za kumilikishwa kama wawekezaji
Hao wachina wanayataka maeneo potential ambayo tayari yanamilikiwa na wazawa.
Hao wachina wanawapa hao wazawa fedha ili waondoke kisha wao wanaenda tic kuomba wamilikishwe kama wawekezaji.
Kuna sehemu hapa dsm kimara bucha kwa mbele kama unaelekea baruti mkono wa kushoto wamelipa fedha watu waondoke hadi ambao maeneo yao tanroads waliyaweka X kwamba yapo road reserve. Wameshambiwa kwamba hii barabara ikishatanuliwa sasahivi ndio basi.
Just Imagine serikali ilikuja kukupigia x kwamba uondoke tena bila fidia yeyote mchina anakuja anakupa million 40 anakwambia tuuzie.
Eneo limeshasawazishwa kabisa kwanza nilizani ni hawa wachina wanaojenga barabara wamesawazisha, nikaambiwa hapana hapo kuna nyumba zimevunjwa wachina wamenunua wanataka kujenga godown
Wanahusishwa na wachina watakaokuwa na maduka kwenye huo mradi ilipokuwa stendi ya mabasi ubungo.
Wachina noma yaani wamenunua eneo la road reserve ambalo raia waliambiwa wahame hawatakiwi
 
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno

Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi hivyohivyo, Ardhi na kila eneo lenye hela vyote sasa hivi wachina wanajibebea kwa bei sawa na bure. Hawa laki 3 wanaokuja ni ma tycoon tupu.. Watakaobaki ama watakaorudi kuwekeza hawawezi kupungua elfu 5 mpaka 10

Ni wakati wa kulisimamia taifa kizalendo zaidi na kuepuka vizawadi vya tv na simu. Waliopo Tanganyika tayari wanahodhi ma ardhi makubwa ya hekari nyingi sana kwa mkataba wa miaka 99.. Hivi ni vizazi vitatu.. Wanaokuja nao watapita humohumo

Je, baada ya hiyo miaka 99 tutakuwa tumebakiwa, tumebakishiwa nini? Mpango huu wa kuwaleta wachina wengi kiasi hiki kwa ajili ya fursa za uwekezaji na biashara hauna afya sana kwa taifa kama tusipokuwa makini sana

Hawa wanaletana na kuja kufanya makazi ya kudumu huku wakipora kila kitu chetu kizuri.. Baada ya vizazi vitatu tutakuwa na taifa gani?
Ulichoandika ni Ukweli Mtupu, Wachina wamekuwa wengi sana kila kona hapa nchini na wanapiga kazi sanaa

Ni kweli lisipofanyika jambo, basi miaka michache ijayo Wabongo watakuwa wazururaji huku Wachina wakiwa wameshashika secta zote nyetii
 
Sasa si ndio wananunua ili wafanye taratibu za kumilikishwa kama wawekezaji
Hao wachina wanayataka maeneo potential ambayo tayari yanamilikiwa na wazawa.
Hao wachina wanawapa hao wazawa fedha ili waondoke kisha wao wanaenda tic kuomba wamilikishwe kama wawekezaji.
Kuna sehemu hapa dsm kimara bucha kwa mbele kama unaelekea baruti mkono wa kushoto wamelipa fedha watu waondoke hadi ambao maeneo yao tanroads waliyaweka X kwamba yapo road reserve. Wameshambiwa kwamba hii barabara ikishatanuliwa sasahivi ndio basi.
Just Imagine serikali ilikuja kukupigia x kwamba uondoke tena bila fidia yeyote mchina anakuja anakupa million 40 anakwambia tuuzie.
Eneo limeshasawazishwa kabisa kwanza nilizani ni hawa wachina wanaojenga barabara wamesawazisha, nikaambiwa hapana hapo kuna nyumba zimevunjwa wachina wamenunua wanataka kujenga godown
Wanahusishwa na wachina watakaokuwa na maduka kwenye huo mradi ilipokuwa stendi ya mabasi ubungo.
Wachina noma yaani wamenunua eneo la road reserve ambalo raia waliambiwa wahame hawatakiwi
Haya mambo mtu unaweza yaona kama stori ila yanashangaza sana
 
Nanukuu: "Wachina noma yaani wamenunua eneo la road reserve ambalo raia waliambiwa wahame hawatakiwi"
Kwa hiyo hilo eneo wamemilikishwa Wachina kwamba ni eneo halali? Wizara ya Ardhi nyumba na makazi ilitoa Letter of Offer?
 
Ulichoandika ni Ukweli Mtupu, Wachina wamekuwa wengi sana kila kona hapa nchini na wanapiga kazi sanaa

Ni kweli lisipofanyika jambo, basi miaka michache ijayo Wabongo watakuwa wazururaji huku Wachina wakiwa wameshashika secta zote nyetii
Sipati picha kwamba miaka michache ijayo wachina watakuwa wameshika sekta zote nyeti. Inakuwaje kwani Wachina wanavamia au ni sisi wenyewe tutawakabidhi hizo Sekta kwa hiari? Hilo jambo ambalo linatakiwa lifanyike ni NANI anatakiwa alifanye?
 
Mkuu hii sio habari ya kufumbiwa macho kabisa na watu wetu wa Usalama,leo hii sisi ambao tunanufaika kwa kuwa karibu na wachina huku tukijiona tumefanikiwa kuliko wanaotuzunguka kwenye jamii zetu muda sio mrefu hata sisi wanufaikaji wa vi misaada hivi tutaona uhalisia na matokeo ya huu Upumbavu tunaofaunya,

Sekta ya Madini imevamiwa kwa Kasi na hawa Wachina,kwa sasa wananunua Leseni za utafiti na Leseni ndogo za wachimbaji wadogo kwa Kasi ya kutisha, sio Kahama,Morogoro,Chunya, Geita mpaka Mpanda kote wanahodhi maeneo na wenyeji tukiendelea kutunishiana misuli kwa nani anayemiliki Gari zuri baada ya kupata mgao kutoka kwa wachina hao.

Watanzania tumelala sana kama raia wa kawaida lakini viongozi ndio tuseme pengine hawajui hata kwanini wapo hapo,

Utajiri wetu upo katika Ardhi,huu Upumbavu wa kuhonga Ardhi kwa Wachina hautoishia tu katika Ardhi bali utagusa mpaka katika maamuzi ya Chama na Serikali siku Maslahi ya hawa wanaopewa Ardhi hii kwa kisingizio cha uwekezaji watakapoguswa Maslahi yao.

Kwa kuwa wenye mamlaka wameona njia ya kuiokomboa nchi hii kiuchumi ni kuzitoa Fursa za hii nchi kwa Waarabu,Wachina na mataifa mengine ya nje na sisi wazawa hatuna Akili ya kufanya lolote zaidi ya kuimba muziki na kubishana kuhusu nani Bora kati ya Simba na Yanga basi wacha wenye Akili wachukue Fursa zote ila mwisho wa haya ni mbaya kuliko hata hizo zama za Ukoloni,

Mwenye masikio na asikie,kama una Akili ya kuona mbali huu ndio wakati wa Kuhodhi maeneo ya Ardhi yenye Madini na Rotuba nzuri kwa ajili ya kilimo(ufugaji) sio kwa ajili yako bali kwa vizazi vyako miaka 50 inayokuja,bila hivyo siku moja mtaona wajukuu zetu wakiwa Manamba ndani ya nchi yao kwa ujila wa Chakula tu.

Fikra Za Mwalimu Zidumu....
Kusema ukweli inaumiza sana kuona hawa wachina wananunua mpaka milima kwa lengo la kuchimba mawe ya kutengeneza mabo,milima inachimbwa mpaka inaisha yanabaki mashimo na nasikia dhahabu wanapata na wanachukua,mazingira yanaharibika.....Inaumiza sn
 
Hivi hii miaka 99 ni lazima au ukiherehere wa kuiga tu?
Hamkukoma ya Williamson Diamonds?
Yaani nchi yenu ardhi yenu rasilimali zenu ila kila mkataba hata kama ni mlima mahindi ni miaka 99
Kwanini lakini ?
Kwanini isiwe miaka 25 tu na waangaliwe miaka 5 ya kwanza kama wanafanya waliokubaliana kama wakikutwa wanauza kashata kariakoo wasafirishwe
Au
 
Sio Ubia huo kweli?
Watanzania wengi hawajui sheria na wanauza ardhi hovyo sana na ndio hapo tatizo lilipo. Fikiria tu kuna watu wananunua ardhi bila kuandikishiana makubaliano. Wakati sheria inasema ni lazima kuwepo na makubaliano ya kimaandishi kwenye jambo lolote linalofanyika kwenye umiliki wa ardhi
 
Back
Top Bottom