Ujio wa wazi viumbe kutoka sayari nyingine utaleta mapinduzi makubwa sana Duniani

Ujio wa wazi viumbe kutoka sayari nyingine utaleta mapinduzi makubwa sana Duniani

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera.

Tukio la aina hii kwa hakika litaupindua ulimwengu juu chini na kuleta mapinduzi na mabadiliko makubwa sana kila nyanja kuanzia dini, siasa, teknolojia mpaka mahusiano.
Itakuwa kama Ulimwengu unazaliwa upya.
 
Mnadanganyika na movie za marvel au sio 😂
Haya endelea kusubiri
 
Wapo mpaka leo/sasa ila hawajionyeshi km unavyotaka wewe, hii ni kweli
Mkuu wanaonekana tu na wapo tu ila bado hawajaijua dunia yetu. Wataalam wa anga za juu wameonya ongezeko la satellite zinazorushwa space zinaweza kuwafanya kusoma signal ya dunia na kutufikia na kugonga wake zetu na madem zetu tukabaki tunalaani na kulialia.

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom