Ujio wa wazi viumbe kutoka sayari nyingine utaleta mapinduzi makubwa sana Duniani

That's 124 light years away.

Do you understand how far that is?

For comparison, the sun at around 93 million miles is only about 8 light minutes away.

The light you see from that planet today left that planet in our year 1902.

I don't think people grasp how daunting interstellar travel is.
 
Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera.

Tukio la aina hii kwa hakika litaupindua ulimwengu juu chini na kuleta mapinduzi na mabadiliko makubwa sana kila nyanja kuanzia dini, siasa, teknolojia mpaka mahusiano.
Itakuwa kama Ulimwengu unazaliwa upya.
Akili ikiendeshwa na hisia bila ya uasilia ni tabu.
 
Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera.

Tukio la aina hii kwa hakika litaupindua ulimwengu juu chini na kuleta mapinduzi na mabadiliko makubwa sana kila nyanja kuanzia dini, siasa, teknolojia mpaka mahusiano.
Itakuwa kama Ulimwengu unazaliwa upya.

Ukishasema viumbe jua umetamka aliyeviumba.
Na viumbe haviwezi Fanya Jambo lolote bila kibali cha muumba
 
Hii nayo ni imani kuwa kuna viumbe watakuja duniani au imetoka wapi?
 
Ukishasema viumbe jua umetamka aliyeviumba.
Na viumbe haviwezi Fanya Jambo lolote bila kibali cha muumba
Pia vinaweza kuwa vyenyewe ndio wametuumba au walitupanda duniani, inaitwa "Directed Panspermia".
 
That's 124 light years away.

Do you understand how far that is?

For comparison, the sun at around 93 million miles is only about 8 light minutes away.

The light you see from that planet today left that planet in our year 1902.

I don't think people grasp how daunting interstellar travel is.
Inawezekana kuna civilizations zenye advanced physics za kuwawezesha kusafari speed inayokaribiana na ya mwanga au hata inayozidi.
 
Ukishasema viumbe jua umetamka aliyeviumba.
Na viumbe haviwezi Fanya Jambo lolote bila kibali cha muumba
Organisms , living beings , living form, creatures( viumbe) ni neno la kidini kitu , na limezoeleka kutumika kwa sababu asilimia kubwa ya watu wapo kwenye mifumo ya kidini tu na sio kwamba ndio uthibitisho wa kuwa vimeumbwa
 
Umeongea vizuri kwa kingereza kutokana na kingereza kuwa na utajiri wa msamiati.

Sasa nipe Kisawe(synonyms) cha neno Kiumbe(viumbe) kwa lugha ya Kiswahili.

Maana kingereza umeweza kusema organisms, Living things(beings), Creatures ambapo yote yanarejelea Jambo lilelile
 
Kwenye kiswahili hakuna na haimanishi chochote kutokuwa na mbadala wa hilo neno ni kufilisika tu kimisamiati.
 
Unajua maana yake?

Lugha ni moja ya aspect ya Culture.
Culture ni total way of life.

Lugha inazaliwa, inakua na inakufa.
Ukiona neno halipo kwenye Jamii Fulani ujue huo sio utamaduni wao.

Mfano, Ushoga,
Ukiambiwa ukalimani/tafsiri neno ushoga kwa lugha yako ya kibantu kama kichaga huwezi kupata neno lenye maana ya ushoga. Tafsiri yake hapakuwa na utamaduni huo au Jambo hilo hapo nyuma kwenye jamii husika.
 
Hayo ni maneno tu yamezoeleka hivyo nayatumika kawaida tu bila kujalisha ukweli ya hayo mambo , nikama kusikia mtu ana sema roho inaniuma nilivyokosa kazi , ukikaa nae chini ukamuhoji kuhusu hiyo roho hana majibu ila kaeleweka tu
 
Hapana usiseme maneno tuu.

Kuna kitu kinaitwa "Maana" huo ndio msingi wa lugha na mawasiliano.
Huwezi kusema hayo ni maneno tuu. Na yanatumika kawaida.

Maneno yasiyo na maana hayana maana ya kuwepo.

Nafikiri unachukulia mambo kikawaida.

Ndio maana nikakuambia unafikiri kwa nini nikikuambia utaje visawe vye neno VIUMBE unaweza ukakosa.
Lakini nikikuambia utaje visawe vya neno pesa utapata?

Ndio nimekurudisha kwenye utamaduni. Kwa sababu lugha ni utamaduni. Lakini kuna sayansi ya lugha
 
Naongelea kwenye uthibitisho yakinifu na sio utamaduni, hataneno mizimu lina maana kiutamaduni na kidesturi ila ukija kwenye kulithibitisha ,linabaki kuwa ni neno la kiimani ambalo limepata maana ya kiimani tu bila uthibitisho wowote.
 
Hahaha!
Hivi unajua asilimia 99% ya maneno hayathibitiki?
Achana na mzimu sijui malaika.

Hata neno kama Jiwe, Mto, Baba, Yule hayathibitishi kirejelewa.
Yaani hakuna uhusiano kati ya neno Jiwe na kitu husika. Ni Una assume tuu.

Maneno kama Nyau, pikipiki, bomu n.k ndio yanakaribiana na kirejelewa.

Kingine kwenye sayansi ya lugha. Maneno unayoongea hapa ni asilimia 25% ya mawasiliano na maana. 75% zimebaki kwenye body language.
 
Back
Top Bottom