Ujio wa wazi viumbe kutoka sayari nyingine utaleta mapinduzi makubwa sana Duniani

Ujio wa wazi viumbe kutoka sayari nyingine utaleta mapinduzi makubwa sana Duniani

Mkuu wanaonekana tu na wapo tu ila bado hawajaijua dunia yetu. Wataalam wa anga za juu wameonya ongezeko la satellite zinazorushwa space zinaweza kuwafanya kusoma signal ya dunia na kutufikia na kugonga wake zetu na madem zetu tukabaki tunalaani na kulialia.

adriz de mbusii
Wataanza kumshughulikia GENTAMYCINE.
 
Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera.

Tukio la aina hii kwa hakika litaupindua ulimwengu juu chini na kuleta mapinduzi na mabadiliko makubwa sana kila nyanja kuanzia dini, siasa, teknolojia mpaka mahusiano.
Itakuwa kama Ulimwengu unazaliwa upya.
Shauri zenu nyie endeleeni tu kuombea hayo madude yaje duniani. Bado hamjajifunza tu kwa popo bawa. Unaambiwa Yakija wanaume wote watavuliwa ubingwa unaambiwa hiyo midude inatatuarindaz balaa.
 
Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera.

Tukio la aina hii kwa hakika litaupindua ulimwengu juu chini na kuleta mapinduzi na mabadiliko makubwa sana kila nyanja kuanzia dini, siasa, teknolojia mpaka mahusiano.
Itakuwa kama Ulimwengu unazaliwa upya.
Viumbe kutoka sayari gani kwa mfano?
 
Back
Top Bottom