Wapo mpaka leo/sasa ila hawajionyeshi km unavyotaka wewe, hii ni kweliKatika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera.
Tutakuwa tusharudi duniani kwa mara ingine aisee, naamini Kuna ujio wa piliMwaka 4000 mbali sana
Mnadanganyika na movie za marvel au sio 😂Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera.
Tukio la aina hii kwa hakika litaupindua ulimwengu juu chini na kuleta mapinduzi na mabadiliko makubwa sana kila nyanja kuanzia dini, siasa, teknolojia mpaka mahusiano.
Itakuwa kama Ulimwengu unazaliwa upya.
Watamchana chana mtoto wa watu aise!Wakija tutawapa Seran wajipigie
Kijambio cha gentamibangi kipo rehani 😂Watamchana chana mtoto wa watu aise!
Labda tuwape GENTAMICINE wamvae kisawasawa kumqinyeo.
Unaambiwa hawa viumbe ni wabaya sana when it comes to kudinyana. Sasa sijui hii kauli inaukweli gani.Kijambio cha gentamibangi kipo rehani 😂
Waje wamalize vita mashariki ya katiInategemea sana. Lakini vyovyote vile kutatokea mapinduzi ya kisayansi.
Ah ngoja tuoneUnaambiwa hawa viumbe ni wabaya sana when it comes to kudinyana. Sasa sijui hii kauli inaukweli gani.
Mkuu wanaonekana tu na wapo tu ila bado hawajaijua dunia yetu. Wataalam wa anga za juu wameonya ongezeko la satellite zinazorushwa space zinaweza kuwafanya kusoma signal ya dunia na kutufikia na kugonga wake zetu na madem zetu tukabaki tunalaani na kulialia.Wapo mpaka leo/sasa ila hawajionyeshi km unavyotaka wewe, hii ni kweli
Sio mke wangu hawezi kugongwa na hizo vituna kutufikia na kugonga wake zetu na madem wetu.
Atawapa tu kwasababu watakuwa wanashobokewa.Sio mke wangu hawezi kugongwa na hizo vitu