Jiwe tumelipa jina na nina weza kukuonyesha jiwe nakulithibitisha kama tulivyokubaliana , ila yapo mambo ya kufikirika tumeyapa majina ila hatuwezi kuyathibitisha , yanabaki kuwa tu kama wahusika wa kwenye masimulizi ya alfa lelu ulela.Hahaha!
Hivi unajua asilimia 99% ya maneno hayathibitiki?
Achana na mzimu sijui malaika.
Hata neno kama Jiwe, Mto, Baba, Yule hayathibitishi kirejelewa.
Yaani hakuna uhusiano kati ya neno Jiwe na kitu husika. Ni Una assume tuu.
Maneno kama Nyau, pikipiki, bomu n.k ndio yanakaribiana na kirejelewa.
Kingine kwenye sayansi ya lugha. Maneno unayoongea hapa ni asilimia 25% ya mawasiliano na maana. 75% zimebaki kwenye body language.
Hii ni habari ya science fiction zaidi kuliko sayansi.Inawezekana kuna civilizations zenye advanced physics za kuwawezesha kusafari speed inayokaribiana na ya mwanga au hata inayozidi.
Mkuu wewe unaongelea sisi kwenda galaxies au sayari nyingine na physics yetu ya sasa kama tunavyoijua sisi hapa duniani kwetu. Mimi naongelea viumbe kutoka sayari na galaxies nyingine kufika duniani na kwa aina ya physics watakayokuwa nayo huko.Hii ni habari ya science fiction zaidi kuliko sayansi.
Ukishasema "inawezekana" tu, unaondoka kutoka ulimwengu wa rigorous science na kwenda kwenye science fiction na fantasy.
Kuna video moja (see below) inaelezea kisayansi, kwa sayansi inayojulikana, vikwazo vingi vya kufanya interstellar travel kwentu hata kwenda hapo Proxima Centauri tu, which is the closest star system iliyo 4.24 light years tu, sasa ukisema light years 124 the distance is unimaginably difficult to traverse.
Halafu, watu wenye teknolonia hiyo watakuja huku kufuata nini ambacho hakipo karibu nao?
The reason why we do not see Extra terrestrials is not because they are not out there. I do not believe that life on earth is so special and there is no intelligent life elsewhere. The reason we do not see them here is the vast distances between stars.
Yani hapo kwenye 124 light years the expansion if spacetime tu, which is roughly 70-73 km/second/Megaparsec/ utaongeza 700 km per year pwr light year.
Maana yake space ita expand 700 km × 124 every year × 124 years which is 10,763,200 km. Just from the exoansion of space.
Hii video imeelezea vizuri changamoto za interstellar travel.
View: https://youtu.be/HG3mkeu8BG4?si=cFHx-9c_-fa6Tk5B
Mkuu wewe unaongelea sisi kwenda galaxies au sayari nyingine na physics yetu ya sasa kama tunavyoijua sisi hapa duniani kwetu. Mimi naongelea viumbe kutoka sayari na galaxies nyingine kufika duniani na kwa aina ya physics watakayokuwa nayo huko.
Kama tunaamini kisayansi ulimwengu una zaidi ya miaka bilioni 13 halafu kuwe na civilization yenye teknolojia labda yenye miaka milioni au hata laki moja tu, sisi hapa na modern physics yetu ya miaka 100 tunaweza kuona teknolojia yao ni kama uchawi au miujiza fulani, kama vile siafu wanavyoweza kuwa wanatutazama sisi binadamu na teknolojia yetu sasa hivi. Inawezekana wakawa wanafanya interstellar traveling kama sisi tunavyopaa na ndege tu.