Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PEPSI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako

Ni kweli TRA inawabana tawi la mbeya tu? Wakati kampuni moja inaviwanda zaidi ya 3 Tanzania vibarua wale wale hulipwa zaidi kwa maeneo mengine.
viwanda viote tanzania vinanyonyo watu
 
Hata hapa dar kuna watu viwandani wanalamba buku 6 kwa kutwa kwa kazi za viwandani, hamna kupumzika hapo. Unakuta wewe una usingizi but mashine inazunguka tu.
viwandani bado kuna utumwa tena mbaya sana waziri wa ajira na vijana kauchuna tu unachukua chake mapema tunamalizana sisi kwa sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…