25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
huyu nadhani atakuwa anaishi kwao au kwa shemejiHizo sio akili za mtu anaejitambua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu nadhani atakuwa anaishi kwao au kwa shemejiHizo sio akili za mtu anaejitambua.
bado ni unyojaji tuHahaha PELICAN huyo au nani? Pepsi Dar ukifanya kazi masaa 12 unalipwa Tsh 7,800/= per day
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni utumwa kabisa unaendelea huko.bado ni unyojaji tu
viwanda viote tanzania vinanyonyo watuNi kweli TRA inawabana tawi la mbeya tu? Wakati kampuni moja inaviwanda zaidi ya 3 Tanzania vibarua wale wale hulipwa zaidi kwa maeneo mengine.
tulia alipitishwa na magufuli kwa nguvu sio kuraNani alimpigia kura Tulia?
viwandani bado kuna utumwa tena mbaya sana waziri wa ajira na vijana kauchuna tu unachukua chake mapema tunamalizana sisi kwa sisiHata hapa dar kuna watu viwandani wanalamba buku 6 kwa kutwa kwa kazi za viwandani, hamna kupumzika hapo. Unakuta wewe una usingizi but mashine inazunguka tu.