Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote.
Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho.
Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako na ana mademu kila kona ya dar. Utasikia oooh huyo ni kuwa ana utajiri wa lucifer au wa masharti.
Mbona tena mmeamua kuwa watumwa wa wengine ili kujiondoa katika utumwa huu huu wa kiroho. Mna wapa sadaka wananunua magari na ulinzi, mnawapelekea mbuzi wanakula wiki nzima, etc
Mbona mna tabu kama zetu nyie wajuzi wa mambo haya.
Maisha ni Maisha tu.
Lakini ukianza kujishuku sana , kujilalamikia , kuujihoji sana utapoteza nafasi ya juu zaidi kwa sababu ya kutokuwa grateful na uwepo wako na vinavyokuzunguka .