Ujue mbuyu wenye miaka zaidi ya 500, unaoweza kubadili jinsia

Hata mimi ya kubadili jinsia ndio nimeisikia kwake.
 
Fanyeni touring kila mahala lakini isiwe ni lazima kujaribu kila mnachoambiwa yapo mengine yalikuwa na baraka kwa wakati fulani kutokana na kuhudumiwa kwa namna fulani hivyo kwa kukosa huduma fulani huwenda yakageuka sumu na balaa kubwa kwani mizimu huhitaji huduma fulani or activations or renew sasa kama wahusika wa eneo pengine wamesahau how to boost GHOST CANT BECAME HAPPY AT ALL
 
Sasa kwani wewe ni mwanaume?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe tunakujua kama ni pengo, a.k.a gasho.



[emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484]
 
Uhai wa imani sio vitabu au sheria bali ni waumini wenyewe na ndio maana siku hizi mambo ya mizimu na vitu vingine vinapotea sababu hakuna wa kuvifuatilia.
 
Uhai wa imani sio vitabu au sheria bali ni waumini wenyewe na ndio maana siku hizi mambo ya mizimu na vitu vingine vinapotea sababu hakuna wa kuvifuatilia.
Kupotea kwa desturi zetu si la kujivunia,nimetoa tu tahadhari watu wasijaribishe vitu kwa kuambiwa
 
Analogia Malenga Mkuu nimevutika sana kwenda kuuona huo mbuyu, ngoja nijichange nikashuhudie. Gharama ya kuingia kuona ni kiasi gani?
 
Analogia Malenga Mkuu nimevutika sana kwenda kuuona huo mbuyu, ngoja nijichange nikashuhudie. Gharama ya kuingia kuona ni kiasi gani?
Elfu 3 tu. Ila inabidi uwe na mwongoza watalii ili akupatie simulizi mbalimbali za eneo hilo. Niliyekuwa naye alinizungusha sehemu kama 3. Mwisho nilimlipa elfu 20. Miaka 2 iliyopita.

Kuna kaburi pale inasemekana Mwl. Nyerere alilala pale akifanyiwa tambiko. Na baada ya tambiko, wazee wakamruhusu aende sasa Ulaya kudai uhuru.
 
Sasa kwani wewe ni mwanaume?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe tunakujua kama ni pengo, a.k.a gasho.



[emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484]

Get busy na uachane na maisha yasiyokuhusu
 
🤣🤣🤣🤣 sasa walle wasagaji na mashoga mbona wanapata tabu kumbe suluhisho lipo. wasahaurini waende huko jmn. 😎😎
 
Swala la kubadilika jinsi siwezi kulibishia sana , ila swala kuongeza au kupunguza siku za kuishi nina mashaka nalo maana hata zikipungua au kuongezeka huwezi kujua maana hakuna anayejua ataishi miaka mingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…