Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Uko sawa?Sasa kwani wewe ni mwanaume?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tunakujua kama ni pengo, a.k.a gasho.
[emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484]
Nadhani ukishalipia ni lazima upewe mtu wa kukuzungusha, kumpa chochote ni kama ahsante tu sio lazima, kwa uzoefu wangu lakini,Elfu 3 tu. Ila inabidi uwe na mwongoza watalii ili akupatie simulizi mbalimbali za eneo hilo. Niliyekuwa naye alinizungusha sehemu kama 3. Mwisho nilimlipa elfu 20. Miaka 2 iliyopita.
Kuna kaburi pale inasemekana Mwl. Nyerere alilala pale akifanyiwa tambiko. Na baada ya tambiko, wazee wakamruhusu aende sasa Ulaya kudai uhuru.
Lazima and its fun tho.Hii ya kuongeza umri wa kuishi kwa kuuzunguka inaweza kuwa Mkakati wa kuvutia watu wengi waende kuuzunguka kisha tuongeze watalii!
Madhara ya kuongozwa na tour guider uchwara ndio hayo.Makumbusho ya Kaole, Bagamoyo yana mti aina ya mbuyu wenye miaka zaidi ya 500.
Mbali na kuwa na umri mkubwa, mti huu unaambatana na imani ambazo zilikuwa za watu wa eneo hilo.
Mti huu unasadikiwa kuwa unapozungukwa kushoto kwenda kulia mtu anaongeza umri wa kuishi na vinginevyo anapunguza umri wa kuishi.
Pia ukizungukwa zaidi ya mara saba hubadili jinsia, ambapo inasemekana kama mtu ni mwanaume anaanza kuwa na tabia za kike na wa kike anaweza kuwa na tabia za kiume.
View attachment 1654983
Basi mie nilimpatia huko mtaani, a certified tour guide. Alinipeleka hotel pia. Kesho yake ndio kunizungusha Kaole, snake park na kwenye mamba.Nadhani ukishalipia ni lazima upewe mtu wa kukuzungusha, kumpa chochote ni kama ahsante tu sio lazima, kwa uzoefu wangu lakini,
Nilivyoenda mimi nilikua na crew ya foreigners nadhani tulilipa 10000 kila mmoja,
Yule aliyetutembeza alipata na yeye bakshishi yake.
Braza uliibiwa ulikutana na makanjanja...Elfu 3 tu. Ila inabidi uwe na mwongoza watalii ili akupatie simulizi mbalimbali za eneo hilo. Niliyekuwa naye alinizungusha sehemu kama 3. Mwisho nilimlipa elfu 20. Miaka 2 iliyopita.
Kuna kaburi pale inasemekana Mwl. Nyerere alilala pale akifanyiwa tambiko. Na baada ya tambiko, wazee wakamruhusu aende sasa Ulaya kudai uhuru.
Malipo ni shilingi elf 2, na tour guider unapewa ukilipa zaidi umeibiwaNadhani ukishalipia ni lazima upewe mtu wa kukuzungusha, kumpa chochote ni kama ahsante tu sio lazima, kwa uzoefu wangu lakini,
Nilivyoenda mimi nilikua na crew ya foreigners nadhani tulilipa 10000 kila mmoja,
Yule aliyetutembeza alipata na yeye bakshishi yake.
hakuna malipo maalumu kwa foreigners?Malipo ni shilingi elf 2, na tour guider unapewa ukilipa zaidi umeibiwa
Usinambie hujaona matokeo ya kuzunguka kwako?Mimi na Crew yangu tulifika hilo eneo tukapata habari zake, tukauzunguka mti huo mara 7, ilikua for fun hakuna mtu aliweka imani ya kinachoelezwa,
Pia kuna kisima hapo hapo Kaole wanasema kipo tangu karne ya mbali huko hakikauki maji pia hakina chumvi licha ya kua karibu na bahari, watu wana nawa na wengine wanakunywa maji yake kwa ajili ya kupata baraka.
Shilingi elfu 2 ni pesa ndogo sana jamani,Braza uliibiwa ulikutana na makanjanja...
Malipo ni tsh 2,000 na unapewa na tour guider kwa bei hiyo na anakuzungusha kote
Ukikutana na vishoka ndio wanakupiga bei halafu wao wanalipa pale huku wakisema wamekusaidia
Kama yapi?Usinambie hujaona matokeo ya kuzunguka kwako?
Hujaridhika tu?Oooooh kumbe babeeh ulienda? Why hukunichukua na mie?
Ya kijinsiaKama yapi?
We ulisikia wapi?Ya kijinsia
Najua bwana weeWe ulisikia wapi?
Unajua nini?Najua bwana wee