Ujue mbuyu wenye miaka zaidi ya 500, unaoweza kubadili jinsia

Kila watu wakitaka kuendelea wanarudishwa ujingani,
Ole wenu WAZUNGU kwa mnavyotupoteza,
Washirikina acheni mara moja uovu wenu
 
kumbe ndo maaana🤔
 
Acha bangi mkuu
 
Braza uliibiwa ulikutana na makanjanja...

Malipo ni tsh 2,000 na unapewa na tour guider kwa bei hiyo na anakuzungusha kote

Ukikutana na vishoka ndio wanakupiga bei halafu wao wanalipa pale huku wakisema wamekusaidia
Yule guide sikumkuta pale, bali nilitoka nae mtaani na alinizungusha sehemu tatu tofauti. Na shughuli ile tulianza siku 1 kabla. Yeye alinitafutia malazi pia. Kwenye maeneo ya utalii ndio tulikuwa tunalipa kiwango kinachotakiwa na risiti tunapewa. Na hayo malipo kwangu mie yalikuwa ni ya ukarimu zaidi kwa huduma aliyotoa.
 
nitaenda kushuhudia mwenyewe
 
Hapa sasa nmeamini ni kweli siyo Uongo. Daaaahh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…