Ujue ni kwa nini wasichana wanakuwa na mahusiano na watu wazima

am trying my best i hope one day i will manage those two together
wewe ni mkongo??maana kiingereza chako kama kiswahili chako......
Gold is sound cheap......GOLD SOUNDS CHEAP.......
But platinum it include a lot.....BUT PLATINUM INCLUDES A LOT.....

samahani lakini.......
 
for every general rule there is an exception
 
most of those adults they going out with they wil give them freedom compare to us youth
 

Its very true, we need attension. Vijana wengi hawajui kucare wenyewe ni kuulizia K tu. Akimwagwa analalamika kuwa wasichana wa siku hizi vicheche. Badilikeni jamani.
 
Bila kuwasahau beyonce na jigga
Na hata kwenye biblia ksa cha abraham na wengne kibaooo

We kuwa na akili...abrahamu alikuwa na shida na mtoto ambaye mkewe alikuwa hana uwezo wa kuzaa hivyo ilimbidi kutafuta uzao kwa Hajiri....hawa malaya na wakosefu wa adabu wa sasa hawasemi ukweli wa njaa yao ya fedha wanasingizia mapenzi na care.....usitoe maneno ya Mungu bila kutafakari kwa kina........
 

sikuhit tatizo la watoto nilihit their age difference na ninasupport real marriages sio haya mahusiano ya ajabu ya vijana wa siku hizi.
 
Acha kutetea upuuzi
Nyinyi ndio mnamengi sana yakujibu
Umalaya na tamaa tu hamna kingine mbona ipo wazi
 
Naona gold diggers wamepata mtetezi.
 
Umesema ukweli mtupu upo sahihi 100%
Age mates wana tabia ya kuwaharass lovers wao, kama ni mwanamke anamharass mwanaume and vicevesaila with huge age gape kuna viini vingi vya kuthaminiana
 
Nilimkuta mnene mmoja hotelini Dodoma akiwa Waziri anaogopwa na kila mtumishi, ila siku hiyo nimepishana naye koridoni anakokota table tenis sikuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…