Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Niko nae DSM mkuu
Dawa ninayo ni locally made tena ya uhakika kabisa na inamaliza na ataumwa tena Mba katika maisha yake. Uzuri wa hii dawa mabadiliko ni ndani ya siku nne tu.

Na in case kama hatapona narudisha hela yake. Sema bahati mbaya upo Dsm ila kama ungekuwa mwanza ambapo ndipo ninapopatikana ungefurahia sana huduma zangu mkuu.
 
Kwa ushauri na Tiba yenye akili, nenda pale LUTHER HOUSE kuna clinic ya magonjwa ya ngozi, utampata mtaalam aliyebobea (Dermatologist), au unaweza kwenda TUMAINI HOSPITAL upanga matatizo yako yataisha.
samahani mkuu, hii kliniki bado ipo? tafadhali toa direction ya LUTHER HOUSE. nina tatizo la mba (dandruff) kichwani mwangu tangu mwaka 1988.
 
Asante kwa taarifa hii nyeti mkuu kwani nimeishateseka na tatizo la dandruff tangu 1988 hadi nimekata tamaa.
 
Ahsanteni kwa Wote Mliosaidika na Dawa niliyopa ..Toka nimeweka Tangazo hili Wengi wenu mmerudi na mmmepona.
Kwa Mwenye kuhitaji asiendelee kusita kunicheki Inbox.
 
Dawa ya mbwa ni Mafuta ya brake ....baada ya kuoga kausha mwili wako afu paka kwa kuchua.. Mara mbili kwa siku... " Hakika ndani ya week mmba zote zinakuwa zimeondoka na unabaki na ngozi Kama ya mtoto mchanga
 
Zipo wapi izo tango, kuna dawa moja nnayo ni ya kupaka,..ni nzuri ilinisaidia Sana nkifika homu ntakutuma jina,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…