Bellagio
Member
- Feb 12, 2022
- 52
- 75
Bakwata bana mshaanza.....
[emoji12][emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakwata bana mshaanza.....
Wewe hujui chochote.Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars..""
, ----____________________________
Yaan ulipofikia hapa nikashindwa Namna ya ku kupata ili nikusaidie haraka sana kukupeleka milembe, tukikuacha unaweza kuatarsha usalama wa majiran na Familia yako
Kwahiyo na wewe unaamini kwamba DUNIA NI YAI linalozunguruka angani kwa mwendokasi?Yaan ulipofikia hapa nikashindwa Namna ya ku kupata ili nikusaidie haraka sana kukupeleka milembe, tukikuacha unaweza kuatarsha usalama wa majiran na Familia yako
Hiyo JOGRAFE YAKO ndio inakuambia kwamba dunia ni YAI linalozunguruka angani kwa mwendokasi?In Physics or Geography subjects, i bet, you scored 00% au hujasoma kabisa.
Nimeishia hapo kwenye hakuna binadamu aliyewahi kukanyaga kwenda mwezini
Na wewe wahi kavute bangi zako,ila nikuonye tu mimi ni afisa usalama wa taifa na tunawasaka kwa udi na uvumba tuwatie kwenye 18 zetu wavuta bangi wote, nakuapia hautapona risasi ya moto inakungoja.Wahi dawa zako mkuu..milembe wapo wazi mpaka saa 2 usiku.
Naona umetayarisha fimbo za kutosha,,Kila anayenyanyua kichwa unae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo lazima wakutane na ukweli, mpaka waelewe na kutoka gizani.
Ndugu NASA ni wajanja mno,mimi simshabikii mrusi,No! Mimi napenda Mmarekani ashinde vita zote.Naona umetayarisha fimbo za kutosha,,Kila anayenyanyua kichwa unae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanapotaka kwenda anga za mbali lazima Engine wakodi Toka Urusi,,,je panasiri hapo kuwa wanapeleka siraha?