Ujue ukweli kuhusu NASA

Ujue ukweli kuhusu NASA

🤔🤔🤔🤔🤔
Hamna haja ya kuchemsha ubongo hapo!
Siri imefichuka NASA ni taasisi ya siri ya mmarekani ya ku-testia makombora ya masafa marefu.
Mimi ni team USA daima ila haka ka siri lazima kafichuliwe bwana.
 
Nimeishia hapo kwenye hakuna binadamu aliyewahi kukanyaga kwenda mwezini

Nyie wenzangu mmeishia wapi?
NASA inajihusisha na tafiti nyingi za anga na anga za mbali. Tafiti za siri pia za kijasusi kama nchi nyingine.
Kuhusu mwezini mleta mada kachemka..
 
Heshima kwenu wote humu ndani.

Leo napenda kushare na ninyi hii siri.
Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic Missile.

Unavyoona wanarusha rocketi kwenda mwezini jua kabisa sio rocketi bali ni makombora ya masafa marefu.

Hakuna binadamu aliyewahi kukanyaga mwezini hata siku moja,zile picha na video zinazo onyesha wanasayansi wanaelea angani jua kabisa kua ni CGI, yaani Computer Generated Images.

Kaa ukijua kua NASA ni taasisi ya siri ya jeshi la Marekani na ni sehemu ya ku-testia makombora ya masafa marefu yaani Inter Continental Balistic Missile,ICBM.

Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars.

The Earth is Flat.No one has ever been to the moon.Sayari nyingine zote ni uongo wa NASA, sayari ni moja tu nayo ni dunia na ndani yake vilivyomo ni jua,mwezi na nyota tu, usidanganywe kua kuna sayari nyingine angani.

Nakaribisha maswali

View attachment 2601396
Daah mwanangu huna akili kabisa yaani..
 
Yaan kuanzia salutations, title head, main body, vipo sawa Ila ulipofika karibu na Conclusion tu ndio maharage yakaanza kurukaruka kichwani ukanza kunya kunya huaro tu unafanya JF nzima inanuka huaro kwa ulichoandika, acha nisiendelee kuandika
 
Kwa kuangalia huu uelewa wa Wakili unaweza kuona kabisa Ni kwanini kule Kenya watu wameambiwa wafunge Hadi wakafa au Ni kielelezo tosha kwamba Mwamposa hatakosa watu wa kumchangia pesa ajenge hoteli.
 
Kwa kuangalia huu uelewa wa Wakili unaweza kuona kabisa Ni kwanini kule Kenya watu wameambiwa wafunge Hadi wakafa au Ni kielelezo tosha kwamba Mwamposa hatakosa watu wa kumchangia pesa ajenge hoteli.
Kwenye mambo yanayohitaji akili nyingi kama haya,hatutaki watu wanaokurupuka kutoka usingizini na kama nyie.Hapa ni ma-genius tu ndio wanaoshiriki.
 
Yaan kuanzia salutations, title head, main body, vipo sawa Ila ulipofika karibu na Conclusion tu ndio maharage yakaanza kurukaruka kichwani ukanza kunya kunya huaro tu unafanya JF nzima inanuka huaro kwa ulichoandika, acha nisiendelee kuandika
Mimi ni genius, wewe ni kilaza mkubwa kwangu.
 
Back
Top Bottom