Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mvaa kobazi egoistic fella una kiburi Cha uhaiMimi ni genius, wewe ni kilaza mkubwa kwangu.
Sawa ndugu Wakili.Kwenye mambo yanayohitaji akili nyingi kama haya,hatutaki watu wanaokurupuka kutoka usingizini na kama nyie.Hapa ni ma-genius tu ndio wanaoshiriki.
Hahahahah! hapa sasa naona tunaanza kushikana masikioNi mtandao wa NASA huo.
Niko serious ndugu.Hahahahah! hapa sasa naona tunaanza kushikana masikio
Haya, NASA ya USA ina uhusiano gani na urusi au china wakati unaona yapo mambo mengi hawaelewani na wanapingana. Ndio watakuja kuwa wamoja kwa hiko kitu..??
Try to be serious please!
Km hujasikia tangazo usotoe taka zako ndaniKwenye mambo yanayohitaji akili nyingi kama haya,hatutaki watu wanaokurupuka kutoka usingizini na kama nyie.Hapa ni ma-genius tu ndio wanaoshiriki.
Kuiga sio chanzo cha wao kuwa mtandao mmoja wanaweza hata wakawa wanaiga kisiri siri bila marekani kujuaMamarekani anafanya majaribio kote, kama nchi nyingine zinazopingana na Mmarekani zinafanya hivyo, jua kabisa wameiga kutoka kwa mmarekani.
Aaah wapi tuonyeshe umevumbua nini Cha zaidi mpaka sasa ? Acha kua na kiburi Cha uzimaNamshukuru Mungu wa mbinguni amenipa akili nyingi sana na ujuaji mwingi, na toka nizaliwe sijawahi kushindwa na mtu.
Yawezekana wewe ni genius wa vilaza wenzakoNi hivi, mimi ni noma wa noma zoote ambazo ushawahi ziona na kuzisikia.
Wewe kwangu ni kilaza wa kiwango cha lami.Mimi ni genius.
Yani bado una ujasiri wa kuniquote?Dawa gani hizo? Hembu zitaje hapa tujue wote.
Sifa za kijinga,Mimi ni noma wa noma zoote ambazo umeshawahi kuziona na kuzisikia.
Mimi ni mwanajeshi na afisa usalama wa taifa.