Ujue ukweli kuhusu NASA

Ujue ukweli kuhusu NASA

Heshima kwenu wote humu ndani.

Leo napenda kushare na ninyi hii siri.
Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic Missile.

Unavyoona wanarusha rocketi kwenda mwezini jua kabisa sio rocketi bali ni makombora ya masafa marefu.

Hakuna binadamu aliyewahi kukanyaga mwezini hata siku moja,zile picha na video zinazo onyesha wanasayansi wanaelea angani jua kabisa kua ni CGI, yaani Computer Generated Images.

Kaa ukijua kua NASA ni taasisi ya siri ya jeshi la Marekani na ni sehemu ya ku-testia makombora ya masafa marefu yaani Inter Continental Balistic Missile,ICBM.

Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars.

The Earth is Flat.No one has ever been to the moon.Sayari nyingine zote ni uongo wa NASA, sayari ni moja tu nayo ni dunia na ndani yake vilivyomo ni jua,mwezi na nyota tu, usidanganywe kua kuna sayari nyingine angani.

Nakaribisha maswali

View attachment 2601396

Haya hamia kwa urusi utuambie sputnik nayo ilikuwa kombora masafa marefu.. kisha utuambie Russian Soyuz nayo ni kombora linaelea kule angani linasubiri kulipuka.. na infact utuhakikishie kabisa kuwa marekan, canada, UK japan na ujeruman nao wakarusha mabom yao yakaenda kuungana na Soyuz la mrusi kisha kuona mabom yameungana yote wakaamu kutoa jina moja wanayaita ISS sasa mabom yote yanazunguka dunia kila baada ya dakika 90

Tuambia na sa hv marekan wamempa Elon Musk lesen anatengeneza space shuttle na amesharusha moja angan tayar

Malizia na kutuambia china nae alirusha kombora lake linaitwa shenzhou mwaka 2003

Yaan tuaminishe kabisa sababu ww ni mtaalam kuwa hakuna human space flight na haitawa kutokea ila wanatujazia Mabom tu huko angan

Halafu onyesha utaalam wako wa kutuambia jinsi jua na mwez vinavyozunguka dunia iliokuwa na umbo la Sahan (flat) . Na tunawezaje kupata usiku na mchana..

Tuambie mkuu mwamba mwenyewe mtaalam wa hiz mambo 🙂
 
Mamarekani anafanya majaribio kote, kama nchi nyingine zinazopingana na Mmarekani zinafanya hivyo, jua kabisa wameiga kutoka kwa mmarekani.
Kwa hiyo wameiga uongo wa Marekani wa kupeleka mtu mwezini ?
 
Heshima kwenu wote humu ndani.

Leo napenda kushare na ninyi hii siri.
Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic Missile.

Unavyoona wanarusha rocketi kwenda mwezini jua kabisa sio rocketi bali ni makombora ya masafa marefu.

Hakuna binadamu aliyewahi kukanyaga mwezini hata siku moja,zile picha na video zinazo onyesha wanasayansi wanaelea angani jua kabisa kua ni CGI, yaani Computer Generated Images.

Kaa ukijua kua NASA ni taasisi ya siri ya jeshi la Marekani na ni sehemu ya ku-testia makombora ya masafa marefu yaani Inter Continental Balistic Missile,ICBM.

Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars.

The Earth is Flat.No one has ever been to the moon.Sayari nyingine zote ni uongo wa NASA, sayari ni moja tu nayo ni dunia na ndani yake vilivyomo ni jua,mwezi na nyota tu, usidanganywe kua kuna sayari nyingine angani.

Nakaribisha maswali

View attachment 2601396
Kapustin yar
 
Haya hamia kwa urusi utuambie sputnik nayo ilikuwa kombora masafa marefu.. kisha utuambie Russian Soyuz nayo ni kombora linaelea kule angani linasubiri kulipuka.. na infact utuhakikishie kabisa kuwa marekan, canada, UK japan na ujeruman nao wakarusha mabom yao yakaenda kuungana na Soyuz la mrusi kisha kuona mabom yameungana yote wakaamu kutoa jina moja wanayaita ISS sasa mabom yote yanazunguka dunia kila baada ya dakika 90

Tuambia na sa hv marekan wamempa Elon Musk lesen anatengeneza space shuttle na amesharusha moja angan tayar

Malizia na kutuambia china nae alirusha kombora lake linaitwa shenzhou mwaka 2003

Yaan tuaminishe kabisa sababu ww ni mtaalam kuwa hakuna human space flight na haitawa kutokea ila wanatujazia Mabom tu huko angan

Halafu onyesha utaalam wako wa kutuambia jinsi jua na mwez vinavyozunguka dunia iliokuwa na umbo la Sahan (flat) . Na tunawezaje kupata usiku na mchana..

Tuambie mkuu mwamba mwenyewe mtaalam wa hiz mambo 🙂
Unaijua rainbow? Umbo lake ni la upinde.
Sasa basi jua kua rainbow inavyo-occur in reflect the dome,which is the firmament.
Unachokiona angani cha Bluu, sio mawingu bali ni firmament, na mawingu yote ni meupe tu.
Turejee kwenye swali lako:
DUnia ni flat na bahari imekingwa na kuta za barafu zinazoitwa Ice wall.
Jua na mwezi viko pande mbili ambazo ni East and West. Mwezi unazunguka dunia pamoja na jua kwa mfumo wa Ying & Yang. Hapo ndipo tunapopata usiku na mchana.
 
Attachments

  • download.png
    download.png
    4 KB · Views: 9
Unaijua rainbow? Umbo lake ni la upinde.
Sasa basi jua kua rainbow inavyo-occur in reflect the dome,which is the firmament.
Unachokiona angani cha Bluu, sio mawingu bali ni firmament, na mawingu yote ni meupe tu.
Turejee kwenye swali lako:
DUnia ni flat na bahari imekingwa na kuta za barafu zinazoitwa Ice wall.
Jua na mwezi viko pande mbili ambazo ni East and West. Mwezi unazunguka dunia pamoja na jua kwa mfumo wa Ying & Yang. Hapo ndipo tunapopata usiku na mchana.
How ying & yang occur?
 
Ni kweli kabisa watu hawajui kuwa hii dunia bado inasiri kubwa na inaongozwa na wahuni walioamua kuifanya dunia watakavyo.

Elimu tusomazo ni uongo by90%, how? Baada ya vita hizo mnazoita vita za dunia kumbe bi vita za wazungu, waliamua kuunda mifumo mipya ya kuicontrol dunia na kugawa matabaka na tawala mbalimbali bila kusahau milki na mipaka ya nchi, huku baadhi ya mambo ama elimu za baadhi ya mambo zikiwekwa kama elimu kwa baadhi ya watu kulingana na matabaka yao.

Na kuna mambo mtu wa kawaida hutakiwi kuyajua kwa mujibu wao, hivyo ni jukumu lao kuhakikisha bloodline ya watu walio kwnye circle ya kutokujua haya mambo waendelee kutoyakua tokea kuzaliwa mpka kufa na vizaz vyao vyote, ila tu kwa wale waliochaguliwa kuyajua hayo mambo ambao nao wako ktk hio circle ya kuyajuwa hayo mambo kulingana na level za kinguvu ktk uhusika wa hizi jamii za hawa wahuni.

Mambo ambayo wanatumia kuhakikisha mtu wa kawaida ama ambaye hayuko ktk circle ya kuzijua hizo elimu ni kupitia

[emoji117] Shule
mtoto anapozaliwa tu anapewa hizi elimu zetu za uongo uongo na historia za uongo kumfanya asitoke nje ya mfumo wa kimaisha wa kuujua ulimwengu kwa kumpandikiza mindset za kijinga na kitumwa za kuaminishwa kila jambo la kisayansi na technolojia za uongo.

[emoji117]dini, hapa ndipo walipowaweza watu na kuwakamata wengi kwa kuwaaminisha kuwa dini ndio chanzo cha mtu kumjua Mungu, na usipokuwa na dini basi wew ni mpagani na mtu wa motoni, hivyo dini zikawekwa kuwafanya watu watumwa wa agenda fulan zinazowafanya watu wawe limited kimawazo, kiakil, kiroho na kinguvu yaan wasifikir nje ya mifumo na mipaka ya dini(Mind-control) hivyo basi huu nao ni mtego ama gereza la kuwapofusha watu akili litumiwalo na hao wachache wasiotaka watu wasio ktk circle yao waujue ukweli nje ya hizi imani za kidini.

[emoji117]Media, hizi ni baadhi ya njia watumiazo kusambaza propaganda, uongo, uzushi, makala za uongo, historia za uongo, na mengi ya hovyo, lengo kuwafanya watu wasio wa mlengo wao kuaminisha yale waliyowadanganya tangu utoton kuwa ni kweli pia kuyakazia mafundisho yao ya uongo ya kidini na elimu zao za uongo,

[emoji117]Sanaa za muziki+mpira
Hapa hata sizungumzii kitu maana kuna watu hata humu hawawezi kuitaja mikoa 20 ya Tanzania lkn wanaweza kuwataja wachezaji wa kikosi kizima cha simba na yanga ambayo haina msaada ktk jamii zaidi ya kuwaweka bize na mambo ya msingi na kuwapotezea muda, hapa wale wahuni ndio wanaosapot vzr sana hiz mambo ya burudan kwa kuwafanya hawa watoa burudan kama kioo cha jamii na mifano ya jamii, hili lote ni kuifanya jamii isiyo ktk circle yao iwe bize na maupuuzi ya mamipira.

[emoji117]Nirudi kwenye point.
Baada ya hawa wahuni kuweka hii misingi yao ndipo sasa walioamua hata kuifanya jamii ione Dunia ama huu ulimwengu uko vipi na vitu vipi vinavyouunda huu ulimwengu.

Hushangai kwann USA+Russia+China n.k hizi nchi hazipatan lkn linapokuja suala la Technolojia ya Anga huwa wapo pamoja?, Jiulize kwanin, hawa wote kiukweli wanajuana vzr na hawa ndio maadui zetu wakuu ambao ndio waliosuka mipango ya uongo kuhusu Umbo la dunia na ramani nzima ya dunia bila kusahau Elimu nzima ya anga.

[emoji117] Dunia sio mviringo
[emoji117] Dunia haina mabara 7
[emoji117] Dunia inaundwa na bara moja tu ambalo ni Afrika na hayo mengine waitao mabara ni vijisehem vya ardhi vilivyomeguka ktk Bara la Africa hapo zamani(Pangea) na kuunda viji ardhi vingine.
[emoji117] Dunia haizunguki wala haitembei, bali jua ndilo huizunguka dunia pia mwezi vivyo hivyo.
[emoji117] Jua sio nyota wala jua haliko umbali waliotuaminisha, vile vile jua ni dogo kulko hata umbo la dunia.
[emoji117]Hakuna chombo chochote kilichowai kutoka ktk anga la dunia, wala hakuna aliyewai kutoka nje ya anga la dunia, hata hizo parachuti zao wanazoziita satellite zinaelea ktk anga hili hili na si nje ya anga la dunia, kwanin? Kwasababu hicho kitu wanachoita space, ni uongo na elimu nzima kuhusu Gravitation force ni uongo na uzushi uliotungwa kutetea elimu ya uongo.

[emoji117]hiyo michezo yao ya kurusha satellite nje ya dunia haijawai kufanikiwa wala hiyo michezo ya kurusha rocket nje ya dunia haijawai kufanikiwa zaid ya kuangushwa huko mnakoita bahar ya shetan a.k.a Bermuda triangle [emoji1787][emoji1787].

[emoji117]pia hata zile picha za sayari na mwezi mnazoaminishwa , zile nazo zimetengenezwa hapa hapa dunian huko majangwa ya Arizona na area51 ambako hawataki mtu yeyote aingie kwa kuwaisha kuwa kuna aliens kumbe kuna makambi ya kijeshi kulinda studio zao za kutengeneza mapicha yao ya uongo kuhusu dunia.

[emoji117]Hii michezo inajulikana na wengi tu hata wao wanajua ni wengi wanajua basi tu Nguvu waliyoitumia kuwaaminisha UONGO, watu wengi tangu utotoni NGUVU HIYO ni ngumu sana kupindua meza na uongo wao kuwa peupe, ndiomaana hawaishi kuleta uzushi wa kuendelea kuutetea uongo wao.

Niishie hapa watu wasiopenda kujifunza nje ya box watachanganyikiwa bure[emoji1787].
 
Naomba unijibu mbona wanaodai kwenda mwezini sio NASA tu na nchi nyingine kama urusi,china n.k hapo napo unasemaje?

na kama wanahadaa pia ina maana walikaa wote chini wakaamua kuficha ukweli?
Nje ya Media hizo nchi sio maadui na wala hawapigan bal ni wamoja, ndiomaana technolojia nzima za anga wanatengeneza kwa kutegemeana na kugawiana ujuzi na vifaa, hii yote ni nguvu moja iliyotumika kuudanganya ulimwengu na itaendelea kutumika, usishangae siku hata Tanzania ikaja kuwa miongozn mwa hao watusha vyombo angani.

Lkn ukweli wanaujua how this work, sio wote wajuao bali kuna CIRCLE ya baadhi ya watu ndio wanajua mambo yanakwenda vipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukielewa michezo ya hii dunia kamwe hutoteseka kuwaza mambo yao waliyotuaminisha.
 
Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars..""
, ----____________________________
Yaan ulipofikia hapa nikashindwa Namna ya ku kupata ili nikusaidie haraka sana kukupeleka milembe, tukikuacha unaweza kuatarsha usalama wa majiran na Familia yako
Isijekuwa ww ndie unastahil kwenda milembe, msomi wa kwel husikiliza jambo huchuja na kutoa facts zake na sio kupanik wala kuhukum, toa facts acha UPUMBAVU
 
Hahahahah! hapa sasa naona tunaanza kushikana masikio

Haya, NASA ya USA ina uhusiano gani na urusi au china wakati unaona yapo mambo mengi hawaelewani na wanapingana. Ndio watakuja kuwa wamoja kwa hiko kitu..??

Try to be serious please!
Unaijua ISS? ama nawewe kilaza? Ile ni aina ya chombo cha anga ambacho kimeundwa kwa ushirikiano wa USA na Russia pia na nchi zingine mnazoaminishwa ni maadui, je wajua kwanini?

Hao wote wanaopigana ktk media na propaganda zao kiuhalisia wanajuana na huwa wanafanya mambo kwa sababu.

Hii dunia ili iende sawa waliunda wao wenyewe matabaka na makundi ya kuitawala dunia, usishangae siku kusikia kuwa Russia ni tawi dogo la USA kuichunga dunia kwa upande wa siasa za kijamaa na USA yenyewe ni tawi la Uingereza ambalo limeundwa kuichunga mifumo ya kibepari na ulimwengu mzima, bila kusahau Uingereza ni tawi la Mroma kuichunga ulaya na afrika nzima, pia Roma hiyo ni tawi la Muisrael kuichunga jamii ya kIASIA+Arabu kiimani na kiuchumi[emoji1787][emoji1787].

Bado hamujaijua Sayansi ya Siasa za dunia nyie, hapa dunian hakuna maadui bali kuna wanafiki wanaounda matabaka, matabaka ambayo hutwangana na baadae huleta matokeo ambayo sasa ndio sababu za kuundwa kwa ajenda za hayo matabaka.

Hii dunia inaongozwa na kitu kimoja ambacho ndicho kimeunda haya matabaka ili dunia itawalike, palipo na umoja+amani hakuna Utawala wa Kihuni unaweza kuimarika hivyo ndivyo wanavyoamini wao hawa wahuni.

[emoji117]DEVIDE AND RULE[emoji1787][emoji1787].

hii Elimu wanaijua wachache sana, kwa hili jukwaa hata hao mnaowaita wajuaji haya mambo hawayajui maana nao wamejazwa upumbavu...

Tusome nje ya box
 
Unaijua rainbow? Umbo lake ni la upinde.
Sasa basi jua kua rainbow inavyo-occur in reflect the dome,which is the firmament.
Unachokiona angani cha Bluu, sio mawingu bali ni firmament, na mawingu yote ni meupe tu.
Turejee kwenye swali lako:
DUnia ni flat na bahari imekingwa na kuta za barafu zinazoitwa Ice wall.
Jua na mwezi viko pande mbili ambazo ni East and West. Mwezi unazunguka dunia pamoja na jua kwa mfumo wa Ying & Yang. Hapo ndipo tunapopata usiku na mchana.

Tuanzie kwenye nadharia yako ya ying yang.. unawza ukaniambia nn kinatokea wakat wa kupatwa kwa mwez.. maana kupata kwa mwez Mwez unakuwa katikat ya dunia na jua..

Sasa kwenye flat earth how is possible

Pili niamnie jua na mwez zimo umbal gan kutoka dunia katika funia yenye umbo la flat sababu kwenye dunia ya duara na tunaoamin dunia ina orbit jua .. mwez uko karibu na Dunia kuliko jua ambalo ndio center of universal..

Tatu kwa nadharia yako ya Flat earth niambie how does gravitation force works na low and high tides

Tukirud kwenye kuta za barafu vip watu walishakwenda nje ya hizo kuta?

By the way mwisho hv nambie kwa nini zile rocket unazoita mabom wakizirusha zinakuwa curved haziend straight

Bado hujajibu kuhusu rocket za russia na china maana ulizungumzia kuwa NASA wanarusha mabom ya majaribio vip china na russia nao
 
Bakwata? Wewe mpumbavu nini!
Mimi ni genius mkristo safi.
Wewe ni wale wakristo brain washed kabisa na akina Kibwetere au Mchungaji Mackenzie akikuambia funga ufe uende Mbinguni naamini utafanya hivyo. Ongeza akili zako!
 
Back
Top Bottom